Naamua kujinyonga....!!

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,338
Reaction score
111,580
"Naamua kujinyonga kwa sababu mke wangu ameamua kuendeleza uhusiano wa kimapenzi na dereva wa bodaboda licha ya jitihahada zangu za kumkataza kuachana na kijana huyo"-Alphonce Kaselema mkazi wa kijiji cha Lema Kyela dakika 2 kabla hajajitia kitanzi (Mwananchi la leo uk 14)
 
duh sasa unajiua unaacha utamu nyuma badala ya kuondoka nao bure kabisa rest in fujo.
 
maisha matamu i cant die kijinga ivyo huku nimuachie nani hivi vituko?
 
Hakyanani hii kitu hii ni tamu balaa mpaka m2 anaamua kujiua hivi hivi kisa kaibiwa
 
eeeeh bhna eeeeh, Ma-segito hao.............!!!
 
LOL nilidhani watu8 kachoka na maisha kumbe ni stori tuu.

hivi maandiko yanasemaje kuhusu kujiua?
 
Last edited by a moderator:
LOL nilidhani watu8 kachoka na maisha kumbe ni stori tuu.

hivi maandiko yanasemaje kuhusu kujiua?

wee raha zote hizi nijiue thubutuu!...kujiua ni sawa kabisa na kuua, hivyo ni dhambi na mbaya zaidi hupati muda wa kutubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…