TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,807
Mimi Pamoja na Kuwa Nilitaka na Niliona ni Lazima CCM iwekwe pembeni 2015 ili kupisha Mabadiliko ya kweli. Sikuwa miongoni mwa wendawazimu waliodhani Tanzania itakuwa Better of kama CCM ikifa. Niliamini na Ninaendelea Kuamini Kuwa CCM pamoja na Ufisadi wote, ilikuwa na Bado ina watu wengi Wazalendo.
Ni hao Ndio Ninaosema sasa lazima watakuwa wanajuta sana, Kuruhusu Magufuli kugombea kwa chama chao na Kuwa Rais wa Tanzania, na Mbaya zaidi Kumfanya Mwenyekiti wa CCM taifa.
Sababu za mimi Kusema hivyo? Magufuli anao uwezo Mmoja tu na kwa Maoni ni yangu Ni kipaji ambacho pia Watu wengi waliokuwa na autism utotoni wanakuwa navyo, Photographic memory! Kwa bahati mbaya tunadhani kipaji hiki ni Kiashiria cha Akili sana au Hekima, Very Wrong!
Magufuli hana uwezo wala Utashi wa Kuongoza watu kwa Kuwa hajali anamkanyaga nani, au juu ya nini Kufika atakako, Ndio maana Anakanyaga haki za msingi za Wengine, Ananyamazisha Wapinzani wake, na Baya Zaidi hana heshima kwa Katiba iliomwapisha. Kuvunja katiba ni Uhalifu No. 1. Ubaya ni Kuwa watu wa aina yake, Wanadhani ndio center ya gravity, na sayari zote zinatakiwa zimzunguke yeye. Na wanahisi Kuwa wao ni Miungu na Wapo juu ya sheria.