Ulimaanisha Kama cha huyu?
Umeyataka Mwenyewe! Unaleta vita vya mawe sio? Mimi policy yangu ukinijia na Manati napiga na Stinger Missile. Utaishia kulikoroga badala ya kupamba bora usepe kama Lizaboni Sepa huna hoja!
Baba yako hawezi kuwa Rais mzuri kama jembe letu JPM!Tangu tupate uhuru hatujawahi kukosea kama awamu hii. Tumepata rais mbovu haijawah tokea. Athar zake zimeanza mapema lakn kadri siku zinavyosonga tutazd athirika wote tutajuta
Mkuu Msamiati ni tatizo / mtihani mkubwa...Oh yea!
Mkuu jipe muda kuelewa huo uzi... Usiwe na hasira.Umelala na kuamka uku ukiwaza utumbo tu!hebu tuambie huo uzalendo wake ni upi?
Uzi wa kilofa, kijinga na kipumbavu kuwahi kutolewa na jitu jinga !!Mkuu jipe muda kuelewa huo uzi... Usiwe na hasira.
Pata huku ukirudia kusoma tena.
Mimi Pamoja na Kuwa Nilitaka na Niliona ni Lazima CCM iwekwe pembeni 2015 ili kupisha Mabadiliko ya kweli. Sikuwa miongoni mwa wendawazimu waliodhani Tanzania itakuwa Better of kama CCM ikifa. Niliamini na Ninaendelea Kuamini Kuwa CCM pamoja na Ufisadi wote, ilikuwa na Bado ina watu wengi Wazalendo.
Ni hao Ndio Ninaosema sasa lazima watakuwa wanajuta sana, Kuruhusu Magufuli kugombea kwa chama chao na Kuwa Rais wa Tanzania, na Mbaya zaidi Kumfanya Mwenyekiti wa CCM taifa.
Sababu za mimi Kusema hivyo? Magufuli anao uwezo Mmoja tu na kwa Maoni ni yangu Ni kipaji ambacho pia Watu wengi waliokuwa na autism utotoni wanakuwa navyo, Photographic memory! Kwa bahati mbaya tunadhani kipaji hiki ni Kiashiria cha Akili sana au Hekima, Very Wrong!
Magufuli hana uwezo wala Utashi wa Kuongoza watu kwa Kuwa hajali anamkanyaga nani, au juu ya nini Kufika atakako, ubaya ni Kuwa watu wa aina yake, Wanadhani ndio center ya gravity, na sayari zote zinatakiwa zimzunguke yeye.
Mtoa mada naomba kukuuliza swali lenye vipengele.......
Naomba nijue kwanza haya mawazo ni yako personally au unawakilisha group ya watu na kama ni group ni ya akina nani hiyo group....
Pili, niambie katika awamu hii mpya na changa unahisi umeathirika vipi personally usianze kuniambia mambo mfano ya mizigo pale bandari maana najua bandari ni public institution si mali yako hivyo haikuhusu,usianze pia kuniambia kuhusu sijui makampuni kuuzwa sijui nini......nataka unipatie in detail maisha yako wewe binafsi nini kimerudi nyuma na useme wazi maana kama umekuwa muwazi kuhusu hisia zako kwa raisi haushindwi kutupa ukweli juu ya maisha yako binafsi.
Jifunze kua na uwezo wakudadafua mambo, na sio ushabiki. Tukienda kwa jazba, hasira na unafiki, hatutafika popote. Learn to reason please!Fikira za masaburi zilozojaa ulofa, ujinga na upumbavu mtupu!
Uwiiiiiiiiiiiiiii!Its only you! Lizaboni msugura makalio za Viongozi wapumbavu kwa maneno ya hadaa! What do u stand to gain? Nilidhani ni mtu significant! By the way Mimi sasa ndio najitayarisha kulala siko kwa mfuga mbwa kama wawe unayetumia Vijikalio vyako kulinda upumbavu kwa kukosa vyote power and knowledge. Unaasume kila Kitu, oh unaamka asubuhi! Mimi niko Across Atlantic wewe bwana mdogo Kunguni wewe! Unaleta vimatusi uchwara, Mimi Mtoto wa Mjini, na vilevile wa Kimataifa. Nimekaa na wahuni, Redneck u name it! Niko kwenye Contruction business kwenye wahuni wa wahuni Lizaboni unaamka na manini waliokumwagia akina nani wa ccm kwenye maninilii yako badala ya kwenda msalani ukanawe hiyo aibu, Lisaboni Kunguni wewe unataka matusi na mimi. The F..ck u too soft in my world go away Weasel.
You mean stupid reasoning!? I can't wat to see rubbish circulating unquestionably!Jifunze kua na uwezo wakudadafua mambo, na sio ushabiki. Tukienda kwa jazba, hasira na unafiki, hatutafika popote. Learn to reason please!
Mwenye ugumu WA maisha ujiseme mwenyewe usiwaweke watu wote, fanya kazi maisha yatakua mazuri tuuKula Pesa za maafa ni uzalendo, kuwadanganya wanafunzi wa vyuo vikuu utawapa mikopo ndio uzalendo au kusababisha ugumu wa maisha? Mwananchi wa kitanzania amenufaika nn maana hospital hakuna dawa mdororo wa uchumi
Wewe mwenyewe mpiga diliKula Pesa za maafa ni uzalendo, kuwadanganya wanafunzi wa vyuo vikuu utawapa mikopo ndio uzalendo au kusababisha ugumu wa maisha? Mwananchi wa kitanzania amenufaika nn maana hospital hakuna dawa mdororo wa uchumi