Naamini wenye Kujua Uongozi wa nchi ni ni CCM sasa Wanajuta!

TL. Marandu

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
3,629
Points
2,000
TL. Marandu

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
3,629 2,000
Mimi Pamoja na Kuwa Nilitaka na Niliona ni Lazima CCM iwekwe pembeni 2015 ili kupisha Mabadiliko ya kweli. Sikuwa miongoni mwa wendawazimu waliodhani Tanzania itakuwa Better of kama CCM ikifa. Niliamini na Ninaendelea Kuamini Kuwa CCM pamoja na Ufisadi wote, ilikuwa na Bado ina watu wengi Wazalendo.

Ni hao Ndio Ninaosema sasa lazima watakuwa wanajuta sana, Kuruhusu Magufuli kugombea kwa chama chao na Kuwa Rais wa Tanzania, na Mbaya zaidi Kumfanya Mwenyekiti wa CCM taifa.

Sababu za mimi Kusema hivyo? Magufuli anao uwezo Mmoja tu na kwa Maoni ni yangu Ni kipaji ambacho pia Watu wengi waliokuwa na autism utotoni wanakuwa navyo, Photographic memory! Kwa bahati mbaya tunadhani kipaji hiki ni Kiashiria cha Akili sana au Hekima, Very Wrong!

Magufuli hana uwezo wala Utashi wa Kuongoza watu kwa Kuwa hajali anamkanyaga nani, au juu ya nini Kufika atakako, Ndio maana Anakanyaga haki za msingi za Wengine, Ananyamazisha Wapinzani wake, na Baya Zaidi hana heshima kwa Katiba iliomwapisha. Kuvunja katiba ni Uhalifu No. 1. Ubaya ni Kuwa watu wa aina yake, Wanadhani ndio center ya gravity, na sayari zote zinatakiwa zimzunguke yeye. Na wanahisi Kuwa wao ni Miungu na Wapo juu ya sheria.
 
mtima nyongo

mtima nyongo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
1,786
Points
2,000
Age
49
mtima nyongo

mtima nyongo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
1,786 2,000
Umelala na kuamka uku ukiwaza utumbo tu!hebu tuambie huo uzalendo wake ni upi?
 
mtima nyongo

mtima nyongo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
1,786
Points
2,000
Age
49
mtima nyongo

mtima nyongo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
1,786 2,000
Huyo unaemsifia
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,734
Points
2,000
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,734 2,000
Uongozi ni kipaji ambacho si kila mtu anacho.
 
M

mwaura Tesha

Member
Joined
Oct 18, 2014
Messages
49
Points
95
Age
35
M

mwaura Tesha

Member
Joined Oct 18, 2014
49 95
Kula Pesa za maafa ni uzalendo, kuwadanganya wanafunzi wa vyuo vikuu utawapa mikopo ndio uzalendo au kusababisha ugumu wa maisha? Mwananchi wa kitanzania amenufaika nn maana hospital hakuna dawa mdororo wa uchumi
 
E

Elimu ya hapa na pale

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Messages
846
Points
1,000
E

Elimu ya hapa na pale

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2016
846 1,000
YAAAANI MAFISADI NA WAPIGA MADILI KUBANWA IMEBAKIA MNAANDIKA MIWEWESEKO TU. TULIENI NA ZOEENI. MAGUFULI ATAWANYOSHA HADI MUHAMEEE.
 
Gangongine

Gangongine

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Messages
3,861
Points
2,000
Age
49
Gangongine

Gangongine

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2015
3,861 2,000
Mimi Pamoja na Kuwa Nilitaka na Niliona ni Lazima CCM iwekwe pembeni 2015 ili kupisha Mabadiliko ya kweli. Sikuwa miongoni mwa wendawazimu waliodhani Tanzania itakuwa Better of kama CCM ikifa. Niliamini na Ninaendelea Kuamini Kuwa CCM pamoja na Ufisadi wote, ilikuwa na Bado ina watu wengi Wazalendo.

Ni hao Ndio Ninaosema sasa lazima watakuwa wanajuta sana, Kuruhusu Magufuli kugombea kwa chama chao na Kuwa Rais wa Tanzania, na Mbaya zaidi Kumfanya Mwenyekiti wa CCM taifa.

Sababu za mimi Kusema hivyo? Magufuli anao uwezo Mmoja tu na kwa Maoni ni yangu Ni kipaji ambacho pia Watu wengi waliokuwa na autism utotoni wanakuwa navyo, Photographic memory! Kwa bahati mbaya tunadhani kipaji hiki ni Kiashiria cha Akili sana au Hekima, Very Wrong!

Magufuli hana uwezo wala Utashi wa Kuongoza watu kwa Kuwa hajali anamkanyaga nani, au juu ya nini Kufika atakako, ubaya ni Kuwa watu wa aina yake, Wanadhani ndio center ya gravity, na sayari zote zinatakiwa zimzunguke yeye.
Fikira za masaburi zilozojaa ulofa, ujinga na upumbavu mtupu!
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,841
Points
2,000
Age
35
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,841 2,000
Ukiona mwanaume anaamka asubuhi asubuhi na hasira dhidi ya mwanaume mwenzake basi ujue kafanywa kitu mbaya na mwanaume mwingine usiku. Tabia hizi wanazo wanawake. Kama wakitendwa vibaya na mwanaume mmoja basi huwaona wanaume wote hawafai
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,841
Points
2,000
Age
35
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,841 2,000
YAAAANI MAFISADI NA WAPIGA MADILI KUBANWA IMEBAKIA MNAANDIKA MIWEWESEKO TU. TULIENI NA ZOEENI. MAGUFULI ATAWANYOSHA HADI MUHAMEEE.
Yaani kadri wanavyojaribu kumchagua Rais ndivyo wanavyozidi kumpaisha. Ngoja aendelee kuwanyoosha.
 
TL. Marandu

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
3,629
Points
2,000
TL. Marandu

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
3,629 2,000
Ukiona mwanaume anaamka asubuhi asubuhi na hasira dhidi ya mwanaume mwenzake basi ujue kafanywa kitu mbaya na mwanaume mwingine usiku. Tabia hizi wanazo wanawake. Kama wakitendwa vibaya na mwanaume mmoja basi huwaona wanaume wote hawafai
Its only you! Lizaboni msugura makalio za Viongozi wapumbavu kwa maneno ya hadaa! What do u stand to gain? Nilidhani ni mtu significant! By the way Mimi sasa ndio najitayarisha kulala siko kwa mfuga mbwa kama wawe unayetumia Vijikalio vyako kulinda upumbavu kwa kukosa vyote power and knowledge. Unaasume kila Kitu, oh unaamka asubuhi! Mimi niko Across Atlantic wewe bwana mdogo Kunguni wewe! Unaleta vimatusi uchwara, Mimi Mtoto wa Mjini, na vilevile wa Kimataifa. Nimekaa na wahuni, Redneck u name it! Niko kwenye Contruction business kwenye wahuni wa wahuni Lizaboni unaamka na manini waliokumwagia akina nani wa ccm kwenye maninilii yako badala ya kwenda msalani ukanawe hiyo aibu, Lisaboni Kunguni wewe unataka matusi na mimi. The F..ck u too soft in my world go away Weasel.
 
Gangongine

Gangongine

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Messages
3,861
Points
2,000
Age
49
Gangongine

Gangongine

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2015
3,861 2,000
Its only you! Lizaboni msugura makalio za Viongozi wapumbavu kwa maneno ya hadaa! What do u stand to gain? Nilidhani ni mtu significant! By the way Mimi sasa ndio najitayarisha kulala siko kwa mfuga mbwa kama wawe unayetumia Vijikalio vyako kulinda upumbavu kwa kukosa vyote power and knowledge. Unaasume kila Kitu, oh unaamka asubuhi! Mimi niko Across Atlantic wewe bwana mdogo Kunguni wewe!
Nenda kaoshe vyoo huko upate ugali!
 
samurai

samurai

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2010
Messages
5,624
Points
2,000
samurai

samurai

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2010
5,624 2,000
Ukiona mwanaume anaamka asubuhi asubuhi na hasira dhidi ya mwanaume mwenzake basi ujue kafanywa kitu mbaya na mwanaume mwingine usiku. Tabia hizi wanazo wanawake. Kama wakitendwa vibaya na mwanaume mmoja basi huwaona wanaume wote hawafai
We jamaa ndio nini sasa umeandika hicho, hayo maneno yametoka kwa mwananchi wa kawaida akitoa maoni yake na mtazamo juu ya Mh pale Magogoni ni hisia zake tu, na ukumbuke JPM ni Rais wa TZ, ukiwa kama muerevu na unahakika na vision za chama chako its better ukamjibu kwa busara na kumuelimisha pale alipopotoka baadala ya kumwaga povu.. Ukada ni athari mbaya sana kwa taifa hili...
 
Forum statistics

Threads 1,283,909
Members 493,869
Posts 30,805,773
Top