And who are you to say so!! Wewe kama uliolewa mapema basi tulia muache mwenzio atafute, si lazima kila mtu aolewe mapema, everything hapens at right time, hayo mambo ya kulazimisha ndio maana hao unaosema wanalea wajukuu utakuta wako veryyy bored,lonenly and desparate ilihali wako kwenye hizo ndoa, so acha kukatisha watu tamaa na kukariri maisha.
tatizo wakati mnatongozwa kipind upo na miaka jati 20-25 maringo mengi mwanachuo mara unataka bwna aliyesoma,mwenye hela na kusahau kuwa wanaume ni hawahawa unaowazarau leo unakuja kuwaomba wakuoe
Kama kawaida yako, teh teh teh!!! huyo me
Hivi dear umesoma vizuri Thread au? Alikuwa anaye aliyedhania atakuja kuwa nae baadae ila ikatokea sivyo. Na inatokeaga hii kwa wengi tunaoezeka siko . So now she is here kupata yule anayemfaa . What's wrong with it? Thanks.
Umejuaje ni me!!
We wa 18 na yeye wa 32tukiwaweka pamoja we ukute ndo utaitwa bibi mfyuuuu! Watu sana 35 lakini ukiwaona kama wako kwenye early 20s. Heri yake kasema ukweli kuliko wengine mabingwa Wa kudanganya umri wao
Itakua imetumika sana, jamaa kajipigia hadi akachoka ndio anatuletea hapa, walikua wanamtongoza analeta nyodo sasa anawatafta mwenyewe kwa tochi.
Na wanaume tulivyo wasanii atakaempata sasa atamtumia na kumuacha tena. Sio kila mwanamke ameumbwa kuolewa,wengine ni special kwa kuburudisha.
Hivi nyie watu huwa mnatafuta kweli au huwa mnachezea akili za watu tu?
Cc lara 1 . Sa ivi ana nyodo sana ngoja aanze kugonga 27, atapata adabu tu.
punguza matusi we mwenyewe umechoka tena umekata tamaa.
Wanawake muda mwingine hamjielewi,wakati mnapata wanaume wa kweli wa kuwaoa wenye nia ya kweli na nyie huwa mnaleta nyodo sana na kubinua vi flat screen vyenu badae wakiwaacha ndio mnashituka kuja kutafta wanaume humu kwa tochi wakati mliwaletea maringo.
Baada ya kuona umri umewaacha injini zenu zimechoka ndip mnakuja humu kutafta watoto wa wanawake wenzenu mkawabemende na kuwapa vitu makapi vimeisha ladha.
miaka 32 unakujua kutafta mwanaume humu, miaka 16 yote umetumia kupigwa mashine na watu wengine,utamu umeisha ndio unataka kumpa mtu unaetaka uishi nae miaka michache iliyobqki,tumeshtuka
Mungu akupe kulingana na itaji lako,naamn ntakukumbuka sala zangu za kila siku,usivunjike moyo,nataman nkuone nkupe ushaur zaid
Aisee......+225 ni code ya nchi gani........?........nimeipenda.......
i wanted to say the same thing.. thanks for help.Pysocio linguistic atakuambia hii ni sauti/kauli ya mwanaume kabisa