Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

ngosha amaelezo ngako wagapangaga kisonga sana, na ulimbonikana ulinamasala sana, hivi ni buli wamulanga kwita ngiko.

ndogo wane, leka nageme doho. Aleho rafiki wane wapandekile nkema mwenumu. nkema wawiza nho, hange wa masala gete.
 
its possible, japokuwa kuna watu watakuja kukuharibia huko huko pm
 
Mimi nakupongeza kwa kuwa muwazi kwenye maelezo yako japo uwazi huo ulitakiwa uendane na kutaja jina lako halisi plus physical address yako. Pili kwangu mimi sifa ya mchumba unayemtaka iliyoko namba saba naona kama itakuchukua muda mrefu sana kuipata.

Hayo mengine ya tabia mwanamke anayapata kwa mumewe, kama hauko smart usitegemee tabia nzuri kutoka kwa mkeo broder.
 
Kaka kwa sifa hzo utapata,but kuhusu namba 7 ungeifanyia amendment kidogo coz dada zetu waliowengi siku hz wanapata watoto kwenye mechi za majaribio..
 
Kwangu mimi nayafananisha maisha ya girls and boys kama mpira wa miguu,timu mwenyeji ni dada zetu, timu mgeni ni boys,
kwa maana hii,toka umri 0 hadi maturity age hiko ni first half of the match means dakika 45 za mtanange wenyewe,kwa bahati mbaya timu mwenyeji zilizonyingi huwa zinaruhusu kufungwa goal na kupoteza uwezekano wa kupata points tatu muhimu,ingawa sjajua ni kwa bahati mbaya ama uwezo mdogo kiufundi,..na 45 hadi 90 ndio kipindi cha kuoa na kuolewa na maisha ya ndoa yaani lala salama,ambapo kaka wewe unataka timu mwenyeji ambaye haijaruhusu goal,kidogo kazi unayo..but wapo ingawa possibility ni ndogo,na sifa ya 8 kidogo ina utata maana uzuri wa mwanamke/mdada unategemea perception ya mwanaume/mkaka juu ya huyo mwanamke, mdada anaweza akajiona mzuri kwa kioo akifika kwako usivutiwe nae,tayari utakkua umemjengea inferiority complex kwenye mindset yake...any way mungu ni mwema siku zote unaweza kupata..

Ni mtazamooo wangu..
 
Mimi nakupongeza kwa kuwa muwazi kwenye maelezo yako japo uwazi huo ulitakiwa uendane na kutaja jina lako halisi plus physical address yako. Pili kwangu mimi sifa ya mchumba unayemtaka iliyoko namba saba naona kama itakuchukua muda mrefu sana kuipata.

Hayo mengine ya tabia mwanamke anayapata kwa mumewe, kama hauko smart usitegemee tabia nzuri kutoka kwa mkeo broder.

Ahsante sana kaka kwa pongezi zako ambazo naamini ni za dhati. nashukuru mno, yeah napenda sana kuwa muwazi na mkweli katika mambo yanayostahili.

In GREEN: Mambo mengine kama JINA halisi or physical address, kwa mimi naona hizo ni 'too personal' details ambazo sio vizuri zikawa outsourced publicly, hususani kwenye mtandao mkubwa kama huu ambapo wanasoma watu mbali mbali wenye hulka na tabia tofauti tofauti. Nadhani ndo maana kukawa na PM/INBOX kwa ajili ya mambo kama hayo yenye some elements of privacy.

In RED: hicho ulichosema mkuu ni kweli kabisa. Mpaka sasa nimebahatika kupata PM 3 ambazo zinaniuliza whether nipo 'strict' na iyo namba 7 ama la. Therefore, naweza kui-ammend iyo criteria no. 7, but ngoja nisubirie kidogo.

In BLUE: apo nakubaliana na wewe to the maximum, umenena vyema! Ni kweli kabisa kuwa tabia ya mke, inadepend na treatment anayoipata kutokwa kwa mumewe.

Otherwise ahsante sana kwa muda wako na busara zako katika uzi huu. Pamoja sana broder
 
Kaka kwa sifa hzo utapata,but kuhusu namba 7 ungeifanyia amendment kidogo coz dada zetu waliowengi siku hz wanapata watoto kwenye mechi za majaribio..

nashukuru sana kaka kwa mchango wako mzuri na ushauri pia. Umeongea sahihi kabisa kuhusu dada zetu siku hizi. Yeah now nafikiria kuifanyia amendment hiyo criteria namba 7. Amani sana na baraka tele kwako mkuu
 
Ahsante sana kaka kwa pongezi zako ambazo naamini ni za dhati. nashukuru mno, yeah napenda sana kuwa muwazi na mkweli katika mambo yanayostahili.

In GREEN: Mambo mengine kama JINA halisi or physical address, kwa mimi naona hizo ni 'too personal' details ambazo sio vizuri zikawa outsourced publicly, hususani kwenye mtandao mkubwa kama huu ambapo wanasoma watu mbali mbali wenye hulka na tabia tofauti tofauti. Nadhani ndo maana kukawa na PM/INBOX kwa ajili ya mambo kama hayo yenye some elements of privacy.

In RED: hicho ulichosema mkuu ni kweli kabisa. Mpaka sasa nimebahatika kupata PM 3 ambazo zinaniuliza whether nipo 'strict' na iyo namba 7 ama la. Therefore, naweza kui-ammend iyo criteria no. 7, but ngoja nisubirie kidogo.

In BLUE: apo nakubaliana na wewe to the maximum, umenena vyema! Ni kweli kabisa kuwa tabia ya mke, inadepend na treatment anayoipata kutokwa kwa mumewe.

Otherwise ahsante sana kwa muda wako na busara zako katika uzi huu. Pamoja sana broder
Nafarijika kuona tumeweza kuelewana na pia nakushukuru kwa kuuthamini mchango wangu wa mawazo. Inshaalah utafanikiwa haja ya moyo wako broder.
 
Mungu akupe hitaji la moyo wako. ukimpata ututaarifu pia
 
Back
Top Bottom