Naamini Kikwete anasikitika kama mimi

Naamini Kikwete anasikitika kama mimi

Slaa.jpg
 
Kikwete mtu wa Msoga pwani yule ni mtu wa kutoumiza kichwa sana yule
The guy with simple statements mfano juzjuzi tu kasema kuwa ameongeza siku 60 za katiba isipopatikana basi sasa unajiuliza huyu bwana mbona anaonekanaga mwanadiplonasia anaona kabisa muhafaka wa katiba ni ishu badala ya kuonyesha jitihada kuifanisha yeye hataki kujichosha zaidi

Unatakiwa kuwa na uelewa wa kutosha kabla hujaropoka usioyajua.Lile bunge la katiba limewekwa kisheria,na sheria inatamka wazi kuwa bunge litakaa kwa siku 70 na zinaweza kuongezwa kufia siku 90 na si zaidi ya hapo.Sasa baada ya kuona hivyo ulitaka rais afanye nn.
Kama rais ameongeza siku 60 basi ametumia ustaarabu wa hali ya juu,na kwa madhumuni ya kutaka rais ajaye aanze kuitumika hiyo katiba mpya.
 
Jk alipewa uraisi na alipoupata hakujua afanye nini. Na mpaka leo sidhani kama anajua. Kwa hiyo kusikitika ni ndoto
 
Back
Top Bottom