MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Tupia na zile za maCCM yakicheza huku yanabaishiana na kushikana viuno,au zile wakipigana kugombea posho,au ya jeykey akiendekeza usanii kwa kupiga ngoma hata moja tu!!!
Hivi nyie Mbona kila kitu mnajilinganisha na CCM? Kama wanachofanya CCM na ninyi mnafanya, tofauti yenu na CCM iko wapi?