Naamini Kikwete anasikitika kama mimi

Naamini Kikwete anasikitika kama mimi

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,018
Reaction score
20,489
Unapoongoza nchi ya Tanzania ilihali Dr.Slaa na Mhe.Tundu Lissu wapo uraiani, lazima serikali yako itakuwa na wakati mgumu, hasa kama serikali hiyo haifuati utawala wa katiba na sheria, kwa kuwa hawa jamaa ni hatari sana kwa ufuatiliaji wa masuala ya kiserikali chini ya katiba na sheria.
 
Subiri vijana wa Lumumba waje utaona hoja watakazo tumia!!!
 
Kikwete anawaza kuua raia wote wa Tanzania ili abaki yeye na Ridhiwani peke yao. Hivyo hana masikitiko ya kuwamiss hao wazalendo wa kweli wa nchi hii Dr. Slaa na Lissu
 
MKUU YERIKO HAPO UMENENA NA UMENIKUMBUSHA MWAKA JUZI LISSU ALIVYOTISHIA KUPELEKA BUNGENI HOJA YA KUTOKUWA NA IMANI NA RAIS

DAH Watu waliingiwa na upepo mbaya mpaka Mzee Said Arth enzi hozo akiwa makam m/kiti wa CDM Akasema siyo msimamo wa chama kushusha pressure
 
Unapoongoza nchi ya Tanzania ilihali Dr.Slaa na Mhe.Tundu Lissu wapo uraiani, lazima serikali yako itakuwa na wakati mgumu, hasa kama serikali hiyo haifuati utawala wa katiba na sheria, kwa kuwa hawa jamaa ni hatari sana kwa ufuatiliaji wa masuala ya kiserikali chini ya katiba na sheria.
yeriko nadhani hujaongea bado sema usikike
 
Kikwete mtu wa Msoga pwani yule ni mtu wa kutoumiza kichwa sana yule
The guy with simple statements mfano juzjuzi tu kasema kuwa ameongeza siku 60 za katiba isipopatikana basi sasa unajiuliza huyu bwana mbona anaonekanaga mwanadiplonasia anaona kabisa muhafaka wa katiba ni ishu badala ya kuonyesha jitihada kuifanisha yeye hataki kujichosha zaidi
 
Sina hakika kama kikwete anasikitika hata kidogo ingawa kweli Dr na lissu wanaisumbua serekali yake ila jamaa ni kama ayupo kabsa kwenye hii nchi
 
Yericko nisaidi yakunena maana kwenye ukweli uongo ujitenga mwenye macho ambiwi tazama huu ndio mda waukombozi cdm kwa ukombozi makini
 
Lissu akilia1.JPG
 
Kikwete mtu wa Msoga pwani yule ni mtu wa kutoumiza kichwa sana yule
The guy with simple statements mfano juzjuzi tu kasema kuwa ameongeza siku 60 za katiba isipopatikana basi sasa unajiuliza huyu bwana mbona anaonekanaga mwanadiplonasia anaona kabisa muhafaka wa katiba ni ishu badala ya kuonyesha jitihada kuifanisha yeye hataki kujichosha zaidi

nadhani uzuri (kwa wasiokuwa wawajibikaji kama mh. rais) wa kuongoza nchi kama Tz ni kwamba kiongozi huwajibishwi kutokana na kauli zako.
 
Mfano mzuri ni pale Kinana na team maccm wote walivyjikusanya jimboni kwa Lisu kwa lengo la kumpaka uchafu. Wamesahau kazi za Lisu jimboni na kwa watanzania wenye kuelewa hazipingwi na yeyote isipokuwa wao tu.
 
Tupia na zile za maCCM yakicheza huku yanabaishiana na kushikana viuno,au zile wakipigana kugombea posho,au zile maCCM yakigawa rushwa ya ubwabwa achilia mbali zile za magari yao yaliyosheheni wanachama wa kusanya wa kuhudhuria mikutano au ya jeykey akiendekeza usanii kwa kupiga ngoma hata moja tu!!!
 
Back
Top Bottom