Naamini jumapili imepita salama

Naamini jumapili imepita salama

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,317
579fd40e66a7b5dd82d3790dd8bacff7.jpg
 
Mmh naanzisha Kanisa hii kwaya ntapata sadaka za kutosha huyo mwenye viatu vya maroon atakuwa choir mistress
 
Mmoja hapo hawa waliokaa ametoka kwenye ubavu wangu.....
 
Kwa waliokaa wa kwanza kabisa kushoto na aliyesimama wa kwanza kushoto pembeni ya huyu aliyekaa wamenibariki kwa kweli
 
Ooh! Allelujjah allelujjah! Waimba kwaya wamenibariki na wamepata kibali machoni pangu.....hivyo nipatie namba ya huyo aliyevaa viatu vyeupe nimpe neno la bwana.
 
Back
Top Bottom