Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Tofauti ni kuwa zamani wanatoa misaada inawafikia walengwa ila kwasasa wanatoa misaada na utalinunua hilo daftari hata kama limeandikwa haliuzwiHaliuzwi. Tena ni kwa hisani ya watu wa Sweden. Kuomba omba ndiyo kawaida yetu. Hata madaftari na penseli/toothpick mpaka tupewe misaada!
pamenifurahisha hapo kwenye 'haliuzi'. mambo hayo huwezi kuyasikia katika serikali inayojigamba kuwa inachapa kazi. hao jamaa ndio walisoma bure kabisa hadi madaftari walipewa hadi nauli za basi, lakini wamekata mstari ati wengine walipe wakati wao ndio walipata mkopo mrefu zaidi ya hata hawa vijana wa siku hizi.