UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,397
- 1,011
Kuna kauli ya watu wa tabaka la chini kuzungumziwa na kila mwanasiasa sijajua hasa kwa nini tabaka hill linazungumziwa na wanasiasa wote.
Ila mimi nichotaka kusema hapa ni kwamba kama utambana sana aliyoko TABAKA la juu tegemea kabisa unakuwa unatesa sana sana tabaka hilo ka wanyonge sana
Nachoelewa matabaka haya yanategemeana kwa kiasi kikubwa sana na kama huamini basi ila ndo hivyo .
Ila kuna wale watapinga kwa kudhani tu bila kujua namanisha nini