"Naamini bustani yangu imepaliliwa" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Naamini bustani yangu imepaliliwa"

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Elizabeth Dominic, Mar 10, 2012.

 1. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Niko kwenye kamtihani kadogo, kuna ka binti ka dadangu kamekuja hapa home kwangu hasa mi niko bored kinoma am broke mambo ya DSTV na Star times kwishney kitambo, movie zote nimemaliza, kujisomea hakupandi. Binti katoka kaacha simu mi nikachukua simu nione hivi hii BBM ni kitu ipi, meseji ikaingia nimefungua bahati mbaya curiosity killed the cat jamani shabash! Meseji inasema "naamini bustani yangu imepaliliwa sitaki magugu nataka niweke mbegu bora" Hasa nikafanyeje haka katoto, sijui niwaambie wazazi wake si nitaonekana mmbea nahivi nimekiambia kinipige jeki maana kina vihela kiaina
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  duh, hebu kikalishe ukipe somo
  kuna mimba za utotoni
  kuna HIV
  kuna magonjwa ya kisonono na kaswende
  kuna herpatitis B
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Fedha fedheaaaa kaka!!
   
 4. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Naamini kanajua yote afu ni kajeuri fulani hivi kwao wanazo sikumoja kaliwahi kunipandishia
   
 5. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Miye mbinti nisiye na mishe, yani mpole nawaacha wahangaike na jiji
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Futa kutumia neno "haka katoto"
  put "haka mwanamke"
   
 7. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Jamani streaming najikakamua ndio nimeanza kumuuliza anajua kaswende ni nini?
   
 8. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  ni kamwanamke kusema kweli lakini mdogo kwakweli yani 15
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  wewe si unataka hela?kavungie basi!
   
 10. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Ngoja nikipe somo afu naki blackmail
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  wee mwenyewe una miaka mingapi?

   
 12. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Miaka yangu kama ya Kamanda Nasari
   
 13. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Nimemweleza kuwa mi si mama yake lakini wajibu wangu kama ma mdogo wake ni kumweleza ajihadhari kwani akijirahisisha hivo atakuja juta baadae na kuhusu magonjwa anajua kila kitu hizi raha za muda mfupi zitamcost and am sure afurahikii hata tendo lenyewe just kufuata mkumbo
   
 14. Gabmanu

  Gabmanu Senior Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuonekana mnoko kitugan banaa.
  Kakalishe chini kaambie "dunia imevaa sket"
  asipokuelewa 2mia hata kiboko.
   
 15. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,244
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Nawewe utampigaje mzinga na ushakaona katoto! Thats y kanakua big headed, eti kalishawahi kukupandishia and she's 15 yrs duuuh,. Wewe mtu mzima unakosa hata buku9 ya star times lakini hako unakokaona katoto kanajiunga bbm buku20000 kila mwezi, hehehehehe mkubwa mwenzio huyooo
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Watoto wa leo wanajua vitu ambavyo hata mama zao hawavijui.
   
 17. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
   
 18. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #18
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Nakwambia! Mwezi umekaa vibaya. Lakini huyu mtoto ameharibiwa na wazaziye sababu anapewa atakacho, sasa mi nishamtumia mama yake meseji kumwahabarisha yaani huyu mamake ni dada yangu lakini kwenye malezi hamna kitu, ana watoto watatu wana visa hadi utachoka mwenyewe hiki ni kimoja tu mi naona watafunzwa na ulimwengu.
   
 19. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #19
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mie mamdogo kamwili changu mwenyewe kazuri utadhani kigori wa miaka 18 nikisimama na huyo binti ye anaoneka jimama sijui ndio hiyo mijunk food maana wanakuwa haraka ndio maana wanapata jeuri
   
 20. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ....sioni hatari kabisa hapo...

  ....kana miaka mingapi....?
   
Loading...