Naachana na mke wangu rasmi

Dah pole mimi ndio mana mda mwingine naona bora nisimuoneahe mtu kama nampenda! Huyo anajua kuwa unampenda ndio mana analeta kiburi!

Raha ya kupendwa unatakiwa udeke sio kuleta kiburi! Alitakiwa adeke coz unampenda!

Sasa dawa ya hao watu ni kutafuta mzuri zaid yake ili uweze kumsahau haraka! Alaf nenda nae anavyotaka ukihitaji mahabba nyumba ndogo ipo kwa ajili yako!

Akiendelea talaka inamhusu!

Ila pia usisahau kuwashirikisha wazee huwenda wakatatua tatizo!
 
Akitishia kuondoka mwambie akitoka asirudi... Hataondoka
Sio akitoka asirudi, wakati anatafuta nguo na yeye amsaidie kumuandalia kila kilicho chake, akiondoka msela akatafute nyumba sehemu nyingine ahamie kuondokana na jinamizi la mwanamke na asongeshe maisha yake. Wanawake wengine wanasaga soli kwa waganga kutafuta mume huyu anabeep?
 
Tatizo ndo hilo. Hawa wanyama ukionyesha tu kuwapenda kwa dhati ndo ujue umejipeleka Segerea mwenyewe.

Usipompenda pia janga.

Kuna mtu aliwahi kuniambia mwanamke mpende moyoni ila usimuonyeshe kwamba yeye ndo kila kitu.
 
Umesema ana hofu na Mungu?Unajua haya maneno huwa yana nitatiza sana kama mtu ana hofu kweli angefanya yote hayo anayofanya?Au mie hiyo hofu unayoingelea siielewi?
anaogopa kutenda dhambi za makusudi kama kuchepuka pia na kusema uongo
 
Kama kaenda we muwache,,usimpigie cm wala kumuiza chochote,mwezi hauishi atakutafta mwenyewe na atarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…