Naachana na mke wangu rasmi

Nimeipenda hii mechanism
 
Kwanini hawezi kumwacha?na umejuaje?
 
Wewe vipi ndugu yaaani mwanamke akinuna au akienda kwao ww kiroho papo? Hebu mlete kwangu nimwonyeshe wanaume hatununiwi hovyo kama kinyonga akinuna mimi naendelea kula mzigo kibubu bubu akijifanya kurudi kwao mimi nashangilia ndio muda wa michepuko kula vyao kwetu mwanamke kununa bila sababu hakuna nafasi hiyo
 
What? Jamaaa unamoyo mgumu kinoma? Anakupikirisha? Mara unazdisha mchuz ! We mwanaume wa tanga? Maadamu anatishia nyau nawe zingua upime anamanisha nn? Maana me naona yote anayokutendea anakupima akushke kwa yap.naww kwa kutojuaa unamlegezeaaa
 
Unaandika ukiwa umegida mbege au? Yaani shombo zote anazo kufanyia ndo unasema anakupenda!! We hujawahi kuona mwanamke anayempenda dume au! Tatizo la kuonja nyapu ukubwani ... yaana hapo bado unataka na ushauri ili upate kusingizia jf wamekushauri usimuache ha ha.. just be serious, huyo hata huko kunyumba hata mauno anakata kweli !!!!!!!!!! kama ni kweli zinduka huko kitaa kuna warembo kibao wanakusubiri waje kukunyenyekea na kukubembeleza mpaka ujutie kuzeeka mapema.
 
Hahahaha all in all huyo mkeo simcha Mungu na wala usimfananishe mwenda ibadani kama mcha Mungu sababu anamtaja au vyovyote wacha Mungu ni wale wanaotenda mambo Mungu anayosema .Mcha Mungu hana vinyongo,nimpenda amani na hanuni maana huwa ni mtu wa kusamehe sasa anaenuna huwa hawapendi kusamehe na hiyo kitu ni mbaya mno ktk ndoa maana inampa shetani nafasi kuharibu ndoa yenu.Ushauri huyo anahitaji kuelezwa habari za Mungu upya kamakweli nimcha Mungu ili afanye yale Mungu anayosema.So mtafutie mmama wa hekima unaemwamini amfundishe jinsi gani ndoa za wacha Mungu zinavokua badala ya kua mwanamke mwombolezaji mbele za Mungu kwa familia yake yeye anageuka kua mvunjaji wa ndoa yake .Na neno linasema mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.Sipendi watu wanaojifanya ni kondookumbe ndani ni mbwa mwitu.
 
Usiumize kichwa, wee subiri akiondoka tena usimfuate...
 
mi bado siajingia kwenye ndoa lakini sijafunza kumdekeza mwanamke hivyo aisee

eti ananuna kisa umezidisha mchuzi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu fanya hivi akununa na wewe usimsemeshe mpaka atakapoamua kukusemesha, akisema anaondoka usimjibu kitu we fanya mambo yako, akiondoka usimpigie simu we kaa kimyaaaa, akirudi wewe kaa kimiyaa akikosea usisite kumweleza, habari za kumtetemekea uache sio yeye aliyekuoa wewe ndio umemuoa, ACT LIKE A MAN FULL STOP. usiwe mtu wa kuyumbishwa na mtu aliyetoka ubavuni mwako
 
Hyoo co MKE wake halali Bali niwale karbu tukae pia unamwendekezaaa kubafuu nanusu fukuzia mbaliii ukoo akwendeee akishapigikaa atajirudishaa na machozi mengi sasa ndo utaamua umrudishee au umvunjie ukutaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…