Naachana na mke wangu rasmi

Naachana na mke wangu rasmi

ntabudjo

Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
70
Reaction score
69
Wakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa

Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki kukosolewa yaani kila nikimkosoa tutakaa siku tatu bila kuongea akiwa kanuna yaani lazma nimuombe msamaha hata kama kanikosea

Pia huwa ana tabia ya kunijaribu sanaa kama kuna kipindi nilimkuta anaongea na mtu usiku nikamwambia SIKUAMINI nakumbuka usiku ule ule alichukua begi lake akaondoka yaaani ndugu zangu nilifikilia sanaa nilipoksea sikupaonaa ila sikukata tamaa nikzidi kumwomba arudi home niliomba msamaha sanaa kisha akakuali akarudi

Kipindi kingine nilipika viazi na nyama nikazidisha mchuzi sikuamini macho yangu yaaani mamaa alikasilika sanaaa akakataa kula akaondoka kwa hasiraa kwenda kulala kwa dadaake kule pia nilitumia nguvu kubwa kumrudisha

Sasa hii ya sasa ndo imenikatisha tamaa yaani niko kikazi tanga mke wangu kuwa anapiga simu mda wote akidai kanimis nikamwambia ntarudi alhamis but nilipata emergrncy mke akakasirika sanaaa huku akisistiza simthamini pia akidai tuachene tuu sasa jana ndio nilirudi home akanipokea vizuri tuu nikamwomba msamaha kwa kumpa feki promis akasema kanismehe kumbe ana yake moyoni
alikataa kuongea na mimi tangu jana bila mimi kujua sababu hadi asubuhi namuaga naenda kazini kumalizia kipolo cha kazi akakasilika zaidi akaondoka pia kazini kwake bila hata kuniaga kitendo kile kimenishangaza sanaaa

Sasa ntaka nifanye mmamuzi magumu naona antaka ajifanye mwanamme ndani ya nyumba ntaka nimpe taraka naombeni ushauri
 
Kaka kuna mawili hapo:

1. Kipo kidume mahali kinamkuna kisawia. Anapokuambia usiende Tanga kikazi anataka ulale home mkisuguanaje wakati yeye naye anahitajika kazini kwake alete majani ya chai weye ulete sukari?? Mtapatapi hayo mahitaji??

2. Anakutishia kwenda lala nje ili akutane faragha na mtu wake.
Dawa.

Amua, kumchunia au mwambie wazi kuwa, ushirika ni kwa kila kitu kasoro hiyo puchi yake. Mwambie una wivu kuliko moto na sasa hutaki ayakate yale majani kuleee bali utakuwa unazisuka na kuzichana mwenyewe tena utapakaa rangi yako mwenyewe na utamchunguza kila akilala nje ya mlango wa chumba chako.
Hataki, piga chini fasta asije kuletea mtoi wa nje ya banda. Ushauri wangu, ukitaka pokea
 
Wanawake wako hvyo..ila wako kazidi,kumuacha sio suluhisho ila wewe tafuta antikiburi yake atatulia tu...ukimpa talaka utakuwa hujajitosheleza kuitwa mwanaume..pambana na changamoto mpaka ushinde...kwa ushauri zaid njoo pm
mkuu iyo dawa inaitwa (Ant kiburi) ndiyo imenivunja Mbavu Mkuu wangu.
 
Wakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa

Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki kukosolewa yaani kila nikimkosoa tutakaa siku tatu bila kuongea akiwa kanuna yaani lazma nimuombe msamaha hata kama kanikosea

Pia huwa ana tabia ya kunijaribu sanaa kama kuna kipindi nilimkuta anaongea na mtu usiku nikamwambia SIKUAMINI nakumbuka usiku ule ule alichukua begi lake akaondoka yaaani ndugu zangu nilifikilia sanaa nilipoksea sikupaonaa ila sikukata tamaa nikzidi kumwomba arudi home niliomba msamaha sanaa kisha akakuali akarudi

Kipindi kingine nilipika viazi na nyama nikazidisha mchuzi sikuamini macho yangu yaaani mamaa alikasilika sanaaa akakataa kula akaondoka kwa hasiraa kwenda kulala kwa dadaake kule pia nilitumia nguvu kubwa kumrudisha

Sasa hii ya sasa ndo imenikatisha tamaa yaani niko kikazi tanga mke wangu kuwa anapiga simu mda wote akidai kanimis nikamwambia ntarudi alhamis but nilipata emergrncy mke akakasirika sanaaa huku akisistiza simthamini pia akidai tuachene tuu sasa jana ndio nilirudi home akanipokea vizuri tuu nikamwomba msamaha kwa kumpa feki promis akasema kanismehe kumbe ana yake moyoni
alikataa kuongea na mimi tangu jana bila mimi kujua sababu hadi asubuhi namuaga naenda kazini kumalizia kipolo cha kazi akakasilika zaidi akaondoka pia kazini kwake bila hata kuniaga kitendo kile kimenishangaza sanaaa

Sasa ntaka nifanye mmamuzi magumu naona antaka ajifanye mwanamme ndani ya nyumba ntaka nimpe taraka naombeni ushauri
Unampenda sana mpk anajua kua kwake amekuweka kiganjani!

Yeye ndo kila kila kitu na wewe kila asemacho hua unafuatisha!
Onesha uanamme wako kaka!

Wanawake sometimes tunajisahau haswa tukiependwaa

Mpe suspension kwanza aende kwao kama miezi miwili hv uone asipojirudi huyoo kongowele!

Means kuna kidume kinampa jeuri!

Penye miti hakuna wajenzi looohh!!!
 
Back
Top Bottom