Naacha uaminifu rasmi

Naacha uaminifu rasmi

jina lako tu linakuakisi kwa uhalisia kabisaaa! pigwa p mama pigwa p!
 
mungu ahsante umenipa moyo wa mapenz ya dhati. lakin napenda wasiohitaji kupendwa wanataka kudanganywa. sasa nimeamua kuwa nawapenzi watatu kila mmoja namuambia yeye nimchepuko akishindwa kunifariji nampiga chini. hahaaaa

Nimegundua mara nyingi tunapenda tusipopendwa. Wale wanaotupendwa ukweli hatuwataki na wale tunaowapenda hawatupendi. Basi ni shiiida.

The best way ni ingia kwenye mahusiano na mwanaume anayekupenda, hili ni jambo la muhimu sana. Hata kama ana sura kama sokwe its better. Uta enjoy life badala ya kuwa na michepuko 3 ni kujichosha.
 
junior.cux kuwa wa nne sio shida. je kazi waweza ? sina uwanja wakujifunzia
 
kuna wanajamvi wananitumia private mesage nashindwa kuzifungus naomba maelekezo jaman
 
Umeanza na kupata hao michepuko. Kumbuka kuweka pesa ya kujitibu baadaye. Homa za mala kwa mala. Na kuharisha kusikosikia dawa.
 
Back
Top Bottom