Naacha uaminifu rasmi

Naacha uaminifu rasmi

ukimwi unaua kwa maelezo zaidi endelea kungonoka

huu ni ushauri wa bure
 
Hakuna kitu kibaya kama kukata tamaa..!! Pole sana na Mungu akusaidie..!!
 
kujishughulisha ndo mpango mzima style za chap kama jogoo sitaki. cjakutuma uwe unakula vijichipsi na biskut mie
 
Tofauti ya wanawake na wanaume ni...the more mwanamke unagegendwa na wanaume tofauti is the more atazeeka ama kuchakaa kabla ya wakati.wanaume wao experience inaonyesha as long as anakula vizuri,au anapata dozi sawia ya viagra basi ana uwezo wa kugegeda wanawake kadri awezavyo bila kuathiri muonekano wake.sasa my lady ukipanga namna ya kuwakomoa wanaume hakikisha hawapo kwenye mkakati..altenatively with them you will only loose.
 
Eeeh Mungu!! Angalia watu wako wanaangamia kwa kukosa maarifa...........
 
mungu ahsante umenipa moyo wa mapenz ya dhati. lakin napenda wasiohitaji kupendwa wanataka kudanganywa. sasa nimeamua kuwa nawapenzi watatu kila mmoja namuambia yeye nimchepuko akishindwa kunifariji nampiga chini. hahaaaa

umaarufu tuu umepata, unataka nini kingine?
 
Ukimwi upo si utani na UNAUA.

mungu ahsante umenipa moyo wa mapenz ya dhati. lakin napenda wasiohitaji kupendwa wanataka kudanganywa. sasa nimeamua kuwa nawapenzi watatu kila mmoja namuambia yeye nimchepuko akishindwa kunifariji nampiga chini. hahaaaa
 
Ongeza idadi watajitokeza wengi sana sasa ukisema watatu unakuwa umebana
 
SANDA KARAWEEEE!!!..... MWENYE kUPATA.... KAPAPATIO.......................................................!!!!
 
mungu ahsante umenipa moyo wa mapenz ya dhati. lakin napenda wasiohitaji kupendwa wanataka kudanganywa. sasa nimeamua kuwa nawapenzi watatu kila mmoja namuambia yeye nimchepuko akishindwa kunifariji nampiga chini. hahaaaa

hebu niongeze hapo niwe wa nne.....
 
Bora awe single ila zikijaa atafute msela wapige ya kirafiki alafu ale hamsini zake kila mtu ajishetue kimpango wake teh teh

Unh mie hata sitaki iwe hivo hebu ajitulize atakuja alie rizik.ake ili.mrad yuko hai rizik.ake yatembea bado itamfikia tu
 
Back
Top Bottom