Uliomba KAZI ukapata KAZI unaona KAZI kufanya KAZI sasa acha KAZI uone tabu ya kutokuwa na KAZI.Ndugu wadau: Najua humu ndani kuna watu tofauti wanachuo,watumishi na hata wanafunz...mm nizungumzie hii idara ya UALIMU licha ya kudharaulika kwa mishahara duni na mazingira mabovu ya kazi dharau imepitiliza mpaka walimu kupigwa makofi hadharani inaniuma sana si tu kwa ujinga wa huyu jamaa aliyepigwa Bali hata hii kada imekaa kudharaulika sijawahi kusika kama kuna Daktari kapigwa au Mhasibu lakin ni miaka ya juzi tu walimu walikula bakora hadharani na mkuu wa wilaya...kwa dharau hizi walimu wasitegemee kama kuna Siku watatekelezewa madai yao ...mmeyataka wenyewe bakini wenyewe kwenye kada yenu
Hadhi ya mwalimu itapandishwa na mwalimu mwenyewe katika utekelezaji wa majukumu yake kitaaluma, ukikimbia wewe ni dhaifu... Ndio maana unadharaulika, washauri na wengine wenye mtazamo kama wako (mamluki) muondoke wote ili tubaki walimu halisi na tusiojua kulalamika ili tutatue kero kama hizo unazoziita dharau kwa kuzingatia nidhamu ya taaluma yetuNdugu wadau: Najua humu ndani kuna watu tofauti wanachuo,watumishi na hata wanafunz...mm nizungumzie hii idara ya UALIMU licha ya kudharaulika kwa mishahara duni na mazingira mabovu ya kazi dharau imepitiliza mpaka walimu kupigwa makofi hadharani inaniuma sana si tu kwa ujinga wa huyu jamaa aliyepigwa Bali hata hii kada imekaa kudharaulika sijawahi kusika kama kuna Daktari kapigwa au Mhasibu lakin ni miaka ya juzi tu walimu walikula bakora hadharani na mkuu wa wilaya...kwa dharau hizi walimu wasitegemee kama kuna Siku watatekelezewa madai yao ...mmeyataka wenyewe bakini wenyewe kwenye kada yenu
Hakuna nidhamu penye woga. Acha nidhamu ya woga. Kama mngekuwa na uwezo wa kutatua hizo kero si mngekuwa mshazimaliza. Acha kuishi kitumwa wewe ebooHadhi ya mwalimu itapandishwa na mwalimu mwenyewe katika utekelezaji wa majukumu yake kitaaluma, ukikimbia wewe ni dhaifu... Ndio maana unadharaulika, washauri na wengine wenye mtazamo kama wako (mamluki) muondoke wote ili tubaki walimu halisi na tusiojua kulalamika ili tutatue kero kama hizo unazoziita dharau kwa kuzingatia nidhamu ya taaluma yetu
Utumwa.. Nidhamu ya uoga, ndivyo hupelekea kukimbia nyumba yako, uliyoujenga mwenyewe kwa muda mrefu, acha fikra mgando, tafuta njia sahihi za kuitawala nyumba yako, akili ndogo hujenga hoja dhaifu kama hii yakoHakuna nidhamu penye woga. Acha nidhamu ya woga. Kama mngekuwa na uwezo wa kutatua hizo kero si mngekuwa mshazimaliza. Acha kuishi kitumwa wewe eboo
Ukifanya fujo utapigwa tuKama ualimu utaendelea kuwa kimbilio la waliofeli basi ualimu utazidi kudharaulika labda serikali ichuje watu wenye sifa za kuwa walimu