Nilishapunguza kabla ya kupumzika....Sasa NAACHA..... Yaani hizi siku 30 nazosemea ni za kupumzika kabisaaa maana nilipiga dozi siku 14 nikakaa ...bila dawa bila pombe nikaenda Tena hospital..nikapigwa tena dozi ya siku 14 hapo almost siku 31 ... Na nimemaliza Sasa Nina wiki Tena mbele.... Sirudi Misri Mzee naenda kanani...