tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 19,961
- 25,187
Kwakweli watanzania ni watu wapole sana. Yani mitandao ya simu vodacom, tigo,airtel, halotel n.k imepandisha tozo za kutuma na kutoa fedha mara dufu lakini wapo kimya. Kwanini hatuna hulka za kuchukua hatua na kuonesha kuwa jambo kama hilo haliwezekani? Je ni mpango wa serikali kuwakandamiaza watu wake hivi?
Inasikitisha sana, Rais ingilia kati kwani watu wa chini wanatumia kila siku hizi huduma na wananyonywa sana.Hizi gharama ni kubwa sana.
Tususie kwa kujitahidi kuacha kutumia hizi huduma.
Inasikitisha sana, Rais ingilia kati kwani watu wa chini wanatumia kila siku hizi huduma na wananyonywa sana.Hizi gharama ni kubwa sana.
Tususie kwa kujitahidi kuacha kutumia hizi huduma.