Valuer bado ziko kichwani
Sio Bure nadhani una hangover au lipo linalokusibu hahahahahah:blah:
Kichwani kwangu kiongozi?
Dah....jana nilikunywa nini kwani....:A S confused:....sijui waliweka gongo kwenye ile chupa ya nyagi?
Tatizo sikumbuki kama nilikunywa chochote jana...
Kwanza hapo upo wapi?????? isije ukawa bado upo gesti hausi
Kama hii imetoka moyoni karibu sana ..kukaa kimya kwangu kuhusu swala hili si kwamba natetea mambo yenu ya infidelity
Kondoo mmoja uliyepotea karibu sana
nidai zawad pleeeeeese!!!!!!!!!!!!!
guuuud boy.....!!!!!!!!!!
Ngoja ni :A S 100::A S 100::A S 100::A S 100::A S 100:na TEAMO, ACID, KAIZER, ASPRIN maana naona uliishanza kuchanganya mafuta ya taa na diseli
yani unataka wote hao? ushakua mswati nini?? duh
Wadau, mabibi na mabwana…
Baada ya kutafakari kwa kina, nimefikia uamuzi wa kuacha kabisa infedeility….
Sasa kwa kuwa basi mi katibu mkuu wa kambi yetu shupavu, nina masharti madoooogo tu ya kujiunga na kambi ya upinzani….
1. Upinzani wanihakikishie hawatanilazimisha kutoa hotuba ya kupinga infidelity wakati najua infidelity is there to stay
2. Nitapata mapokezi ya kishindo i.e. kupewa muda wa kuwa faragha na wafuatao:
i. Smiles (asiogope itakuwa bedless bedroom)
ii. Beauty
iii. Mwanajamiione
iv. Carmel
v. Nyamayao
vi. Wengineo kama itakavyoipendeza ISC...
3. Rule 3 iruhusiwe kutumika kwa hao wa juu….ni muhimu mwenyekiti, mhazini, mfalme na washauri na membaz wote wakaridhika na hatua yangu
As it's only a Friday nawasilisha….
Katibu.
yes yes yeaaaah!
Wadau, mabibi na mabwana
Baada ya kutafakari kwa kina, nimefikia uamuzi wa kuacha kabisa infedeility .
Sasa kwa kuwa basi mi katibu mkuu wa kambi yetu shupavu, nina masharti madoooogo tu ya kujiunga na kambi ya upinzani .
1. Upinzani wanihakikishie hawatanilazimisha kutoa hotuba ya kupinga infidelity wakati najua infidelity is there to stay
2. Nitapata mapokezi ya kishindo i.e. kupewa muda wa kuwa faragha na wafuatao:
i. Smiles (asiogope itakuwa bedless bedroom)
ii. Beauty
iii. Mwanajamiione
iv. Carmel
v. Nyamayao
vi. Wengineo kama itakavyoipendeza ISC...
3. Rule 3 iruhusiwe kutumika kwa hao wa juu .ni muhimu mwenyekiti, mhazini, mfalme na washauri na membaz wote wakaridhika na hatua yangu
As its only a Friday nawasilisha .
Katibu.
Inategemea ni kichwa gani unazungumzia mkuu..........maana hayo masharti naona kabisa hana nia ya kuhama ISC bali ana pango wa kuumaliza upinzani kwa kuurubuni kuingiza sheria na taratibu za ISC kwa IPC.Valuer bado ziko kichwani
kuchakachua muhimu kaka :typing::washing:
yani unataka wote hao? ushakua mswati nini?? duh
hiyo list naiona kama umeiweka kwa order maalum au ni random tu?