Kuna wale wakienda mahotelini hasa nje ya nchi ama humu humu ndani wanafungasha ma taulo meupe ya watu pair nzima naamini mwaelewa na wewe kama una tabia hiyo acha ukiona hela yako aijatosha chukua mataulo yale futia viatu vyako vyeusi lakini si kuchukua wizi ausaiddii tabia hii iko kwa mabosi wengi sana nahisi taulo nyeupe kwao shida sijui