Na watanikoma...

Na watanikoma...

GENTLEMAN S

Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
47
Reaction score
8
Kauli hii nimeisikia kwa watu kadhaa waume kwa wake.je ni sahihi kwa mtu aliyeathirika na magonjwa yasababishwayo na ngono(STD's) zaidi UKIMWI kutoa kauli kama hiyo?

Unakuta mtu baada ya kujitambua amepatwa na maambukizi anafanya kusudi kujiingiza kwenye mahusiano mapya na watu tofauti tofauti..
Je hili lina mchango gani katika kumpa mwathirika unafuu wa kimwili na kiakili?

USHAURI wangu
kabla ya kuingia kwenye mahusiano mchunguze mwenzio kwa undani na pia vipimo vya SDT's na kwa wale waliokwisha kuathirika kwa njia moja ama nyingine nawashauri wawe wawazi wasifanye malipizi.
 
Kaz ipo. Nivigum kuizuia nafsi ya mtu ilichoamua kufanya
 
Ni kweli kabisa TIMING
wakishakoma wanaokaa zipu wazi huwa wanarudi kwa wake na waume zao... tema mate chini dada, tumepoteza ndugu waliokoma kwa kukomeshwa na wanandoa wenzao

haya mama
 
Last edited by a moderator:
wakishakoma wanaokaa zipu wazi huwa wanarudi kwa wake na waume zao... tema mate chini dada, tumepoteza ndugu waliokoma kwa kukomeshwa na wanandoa wenzao

haya mama
Hata nisiposema haibadilishi kitu, wala wewe sio wa kwanza kupoteza ndugu mi pia nshapoteza wengi tu
 
Kuoa au kuolewa ni kuweka maisha yako rehani,ni kumpa mtu akuamulie hatima ya afya yako.

That's why I've never thought of marrying!!
 
Mimi natembea na maabara kabisa. Nabeba kila kitu kwenye kibox kama cha first aid kit. Nampima mkojo na damu kubwa.
 
Back
Top Bottom