Na wapigwe tu !!

Na wapigwe tu !!

Wapigwe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana hakuna namna nyingine
f940d15e1451863724fcda55432dbd08.jpg

Mizengwe Kayaanza Pitia Punda
Former PM
"Na wapigwe tu" founder
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
00bcddfa6e25a93a86e708ba29a88e09.jpg

Kwa mtindo huu wauguzi & maDR wataendelea kula vichapo km vya akina Mayweather maana hamna namna!!!
[emoji23] [emoji23] hata muhimbili kuna upande una manesi wa dizain hiyo
 
[emoji23] [emoji23] hata muhimbili kuna upande una manesi wa dizain hiyo
Heri ya M/2 kuliko M/nyamala ni noma utafikiri wamepewa mafunzo maalumu ya kutokomeza kizazi cha Makapuku
 
Heri ya M/2 kuliko M/nyamala ni noma utafikiri wamepewa mafunzo maalumu ya kutokomeza kizazi cha Makapuku
Labda bwana Magu alivyowashtukiza hivi majuz ndo wamebadilika..... Inabidi afanye ziara sasa na mwananyamala
 
Back
Top Bottom