Na wapigwe tu !!

Na wapigwe tu !!

00bcddfa6e25a93a86e708ba29a88e09.jpg

Kwa mtindo huu wauguzi & maDR wataendelea kula vichapo km vya akina Mayweather maana hamna namna!!!
Naoana umeamua kuwachana
 
Vichapo kwa wauguzi wa kike ni lazima wana midomo sana ila wa kiume hapana
 
Hii inaumiza sana,mothers and their infants lose their lives kwa selfish reasons kama hizi. Utu hakuna kabisa
 
Back
Top Bottom