Na wapigwe tu !!

Na wapigwe tu !!

Bitoz

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
30,823
Reaction score
126,632
00bcddfa6e25a93a86e708ba29a88e09.jpg

Kwa mtindo huu wauguzi & maDR wataendelea kula vichapo km vya akina Mayweather maana hamna namna!!!
 
Ndo hospito yetu makapuku wa Manzese, Mabibo na Kigogo tumezaliwa pale kwa mbinde na tunafia pale pale kimagumashi
Mwananyamala oyeeeeee
Uncle magu pale hajapa-ZOOM, kuna vijipu vimeivaaa.
 
Back
Top Bottom