Na wanaume hawapendi wanawake wa aina gani?

Darwin

JF-Expert Member
May 14, 2008
908
56
Siku nyingi huwa nasikia malalamiko mengi kwa wadada wakisema mwanaume akiwa hivi au vile simtaki.

Haya na sisi wanaume tutoe list zetu kuhusu wanawake ambao hututaki tuhusike nao kiurafiki.

Za kwangu:

Mwanamke asiyejua kupika.
Mwanamke asiyekusalimu
Anayependa kujionyesha anajua zaidi kuliko wewe
Anayefanya makosa lakini hakubali makosa yake
Anayetaka ufanane na bwana fulani.

Nitaendelea siku zijazo.
 
Dah...yani umenielezea mimi bila hata nukta!1.Nijue kupika kwani nataka kua mpishi! 2.Kama salamu unayotaka ni shkamoo kwani we ni mzazi wa huyo mwanamke?Mambo na habari vinatosha! 3.Tatizo mnashindwa kutofautisha kati ya mtu kujua kitu na kujionyesha! 4.Labda yeye haoni ni kosa! 5.Kama unatakiwa ufanane kwa mazuri shida iko wapi??
 
mimi mwanamke msumbufu kitandani tu..........

mengine unaweza kufundishana...

but ukikuta yule ambae hataki kuelekezwa hapo basi.....
 
na mwanamke asie samehe pia.....

as binadaamu hatukosi makosa,ukikuta yule ambaye makosa yako yote anaorodhesha

utajuta.....
 
hayo uliyosema ndio na mie opposite,kwa kweli kuwa na mwanaume asiyejua kupika enzi hizi ni mzigo,mwanaume mjuaji anayetaka siku zote kuwa juu,asiyesamehe na apite pembeni:A S 13:
 
hutaki akuambie umwekee mguu? kwanini?

no
i mean wapo wanawake ni wabishi wabishi hata chumbani..
unamwambia geukia hivi,atakwambia aah hivo siwezi au nimechoka...
nazungumzia in general.....
not me.....
wakat wa chakula cha usiku i mean lol
 
Dah...yani umenielezea mimi bila hata nukta!1.Nijue kupika kwani nataka kua mpishi! 2.Kama salamu unayotaka ni shkamoo kwani we ni mzazi wa huyo mwanamke?Mambo na habari vinatosha! 3.Tatizo mnashindwa kutofautisha kati ya mtu kujua kitu na kujionyesha! 4.Labda yeye haoni ni kosa! 5.Kama unatakiwa ufanane kwa mazuri shida iko wapi??

*Kama hutaki kujua kupika na msichana wa kazi akijua kupika zaidi yako wewe ni wa nini sasa? sibora nikae na msichana wa kazi?
*Salamu simaanishi shikamoo( HABARI YAKO MPENZI) wengine hawazitamki hizo wakati wanaume wanazipenda.
*Kufanana sio copy ya kila kitu wengine wanakua kero tu ya kila kitu. Mpende mume wako kama ulivyomkuta.
 
Dah...yani umenielezea mimi bila hata nukta!1.Nijue kupika kwani nataka kua mpishi! 2.Kama salamu unayotaka ni shkamoo kwani we ni mzazi wa huyo mwanamke?Mambo na habari vinatosha! 3.Tatizo mnashindwa kutofautisha kati ya mtu kujua kitu na kujionyesha! 4.Labda yeye haoni ni kosa! 5.Kama unatakiwa ufanane kwa mazuri shida iko wapi??

hahaha!lizzy nimeipenda hii
 
Siku nyingi huwa nasikia malalamiko mengi kwa wadada wakisema mwanaume akiwa hivi au vile simtaki.

Haya na sisi wanaume tutoe list zetu kuhusu wanawake ambao hututaki tuhusike nao kiurafiki.

Za kwangu:
Mwanamke asiyejua kupika.
Mwanamke asiyekusalimu
Anayependa kujionyesha anajua zaidi kuliko wewe
Anayefanya makosa lakini hakubali makosa yake
Anayetaka ufanane na bwana fulani.

Nitaendelea siku zijazo.

hata mimi sipendi mwanaume aliye na sifa hizo! labda hilo la kupika lakini hayo mengine na hasa hilo la kufanananisha wanawake zao nadhani wanaume wanalo sana maana huwa wanataka wanawake zao wawe na tabia kama za mama zao!
 
kumbe inauma both ways
basi tujitahidi tuache kufananisha
 
*Kama hutaki kujua kupika na msichana wa kazi akijua kupika zaidi yako wewe ni wa nini sasa?
*Salamu simaanishi shikamoo( HABARI YAKO MPENZI)
*Kufanana sio copy ya kila kitu wengine wanakua kero tu ya kila kitu.

*Kwahiyo mimi natakiwa kua mfanyakazi na mke pia? *We umeanza kumsalimia vizuri hivyo naye akaacha kujibu vizuri? *Kwahiyo kama nilimkuta hachani nywele..boxer moja wiki..mlevi haswa..mgomvi bado nimwache tu?
 
Back
Top Bottom