Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,597
Hivi vya sasa ni viashiria vibaya sana , Ntashangaa sana watu waaipojiuzulu Na kuchuliwa hatuaHuwa una akili sana ukiachaga pombe za kienyeji mkuu.
Tuvumiliane tu mambo ya kukinukisha..it aint solution..hapatatosha.
Na mama yangu ndio atateseka na kuishi ukimbizini. Worse!
Viongozi wa Tz ndio wajiuzulu? Kiongozi wa Tz kujiuzulu labda aahidiwe bilioni 2 akijiuzulu, vinginevyo wanakomaa na madaraka tu.Hivi vya sasa ni viashiria vibaya sana , Ntashangaa sana watu waaipojiuzulu Na kuchuliwa hatua
Mkuu bujibuji uliyoyasema kila mtu anayaona na ni bahati mbaya sana hawa mazombi wenye uchu wa madaraka na ulimbukeni wa mjengo mweupe wanafikiri wao ni miungu watu. Wanadhani wanamamlaka ya kutufanya chochote kwa kutumia mamlaka waliyonayo.Hivi Haya mambo ya kupigana risasi kisa tu madaraka unayaona ya kawaida? Tunisia ilichafuka na nchi haikutawalika tena, Na Rais ataondolewa madarakani kwasababu ya mwanafunzi mmoja muuza nyanya kusumbuliwa Na askari wa mji. Maelfu walipoteza maisha yao. Nchi ikichafuka bata tutalia wapi? Nani ataenda club kukiwa kunarindima mambomu? Nani ataenda kwenye ulabu risasi zikiwa zinapishana hewani? Nyumba za wageni zina Raha gani Na nje ni vufaru na mizinga ndivyo ninavyotamani? Tunahitaji kutubu kwa ajili ya ardhi ya Tanzania, wengi hawajui Hali hii ni ishara mbaya. Tukizizoea risasi hatutaziogopa tena. Tukizoea maiti tutazipenda Na hatutaona faida ya kuishi. Huo utakuwa ndio mwanzo wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe. Pole najua hupendi kusoma maelezo marefu. Uwe na siku njema
Samahani kwa swali hili, ungekuwa wewe ndiye kiongozi, ungekubali kuachia hiyo nafasi?.Viongozi wa Tz ndio wajiuzulu? Kiongozi wa Tz kujiuzulu labda aahidiwe bilioni 2 akijiuzulu, vinginevyo wanakomaa na madaraka tu.
Ningejiuzulu kiroho safi kama kosa limefanyika chini ya usimamizi wangu, huwa sipendi lawama za kijingaSamahani kwa swali hili, ungekuwa wewe ndiye kiongozi, ungekubali kuachia hiyo nafasi?.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji23] [emoji23]Huwa una akili sana ukiachaga pombe za kienyeji mkuu.
Tuvumiliane tu mambo ya kukinukisha..it aint solution..hapatatosha.
Na mama yangu ndio atateseka na kuishi ukimbizini. Worse!
mimi naomba tufike tu, naona wameshazoea kutukebehi huku wakifanya juu chini wakae wao madarakani na upande wa pili wanatuua na ndugu zetu wanapotea bila sababu na hatujui wako wapi na wanafanya nini!! tulipofika hapavumiliki tena..leo atapotea yule kesho huyu keshokutwa mimi...sasa hili si lakuvumilika hata kidogo kila mtu ana haki ya kuishi si kupotea ama kupigwa risasi halafu zinaingizwa siasa na vitisho ili tusiseme ama kulalamika....Naomba mungu tusifike huko japo mioyo ya watu ishachoka
Ndio mwisho wa siku tutachoka Na tuchapane. Amani ya kweli haiko Ila kwa ncha ya upangaViongozi wa Tz ndio wajiuzulu? Kiongozi wa Tz kujiuzulu labda aahidiwe bilioni 2 akijiuzulu, vinginevyo wanakomaa na madaraka tu.
Akili za ufipa.Hivi Haya mambo ya kupigana risasi kisa tu madaraka unayaona ya kawaida? Tunisia ilichafuka na nchi haikutawalika tena, Na Rais ataondolewa madarakani kwasababu ya mwanafunzi mmoja muuza nyanya kusumbuliwa Na askari wa mji. Maelfu walipoteza maisha yao. Nchi ikichafuka bata tutalia wapi? Nani ataenda club kukiwa kunarindima mambomu? Nani ataenda kwenye ulabu risasi zikiwa zinapishana hewani? Nyumba za wageni zina Raha gani Na nje ni vufaru na mizinga ndivyo ninavyotamani? Tunahitaji kutubu kwa ajili ya ardhi ya Tanzania, wengi hawajui Hali hii ni ishara mbaya. Tukizizoea risasi hatutaziogopa tena. Tukizoea maiti tutazipenda Na hatutaona faida ya kuishi. Huo utakuwa ndio mwanzo wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe. Pole najua hupendi kusoma maelezo marefu. Uwe na siku njema
Cheo ni dhamana, ningeachia ngazi. Sikuzaliwa Na cheo Na nikifa sitaenda nachoSamahani kwa swali hili, ungekuwa wewe ndiye kiongozi, ungekubali kuachia hiyo nafasi?.