"na tukanywe maji ya mto huo"

"na tukanywe maji ya mto huo"

Box 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
506
Reaction score
117
Mchungaji mmoja wa makanisa ya kisasa alikua akihubiri kuhusu dhambi ya ULEVI jumapili moja,waumin wengi wa kanisa hilo walikua ni watu wa kilaji saana,bahati nzuri sehem kanisa lilipo jiran kuna mto unapita,baada ya kuhubiri sana na akiwa amelowa kwa jasho na akiamini neno limewaingia,aliwaamuru waumin wake wakachukue pombe zote majumban kwao kwene friji na kuzimwaga kwenye mto uliopo jiran na kanisa,mwishowe akamuomba MZEE WA KANISA amalizie mahubiri kwa kuanzisha wimbo.
Mzee wa kanisa alisimama na kuwaomba waumin wote wasimame na vitabu vyao nyimbo na washirikiane kuimba wimbo wa 112 usemao na "NA TUKANYWE MAJI YA MTO HUO"
 
Na mkayanywe maji ya mto huo. hilo kanisa hilo mmmh.
 
Back
Top Bottom