Na sasa hadi Songea Digital Studio.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na sasa hadi Songea Digital Studio....

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mzee Mwanakijiji, Aug 6, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,396
  Trophy Points: 280
  Hatimaye Kitabu cha "MAJERUHI WA MAPENZI" kinapatikana katika Songea Digital Studio. Kwa watu wa pande hizi za "Bomba hii, nyumba hii" unaweza kupiga simu: 713548484 kuona kama unaweza kuwekewa nakala yako. Ni vizuri kupiga simu kwanza kuweka oda yako kwani nakala zilizopelekwa ni chache mno. Hata hivyo kuweza kupata uhakika wa nakala tafadhali lipia kwa M-Pesa ili upatekitabu chako kwa haraka sehemu yoyote mikoani:

  Ukitaka kuagiza kwa kutumia M-Pesa fanya ifuatavyo:

  Jinsi ya Kutuma kwa kutumia simu yako ya Voda

  1. *150#

  2. Bonyeza 4 (Pay Bill)

  3. Bonyeza 1 (Enter Business Number)

  4. Weka 888888

  5. Enter Reference No. (Hapa andika "MAJERUHI" )

  6. Enter Amount (Weka kiasi unachotaka kutuma): 18,000/-
  7. Weka password yako na kisha utume.


  Ukishafanya hivi tuma risiti number kwenda "rockcitym@gmail.com" na kiasi ulichotuma.
   
Loading...