Na nyinyi mmezidi bana... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na nyinyi mmezidi bana...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyani Ngabu, May 21, 2010.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  May 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mtu unaenda grocery store lakini unavaa kaa unaenda klabu. Umevaa kimini na unaonesha mpasuo/ mgawanyo (cleavage) wa matiti. Matokeo yake mmenifanya nigeuke huku natembea hadi nikajigonga kwenye nguzo ya zege. Sasa hivi nina nundu hapa pembeni ya paji langu la uso kisa mapaja na matiti. Nimechukia sana. Sijui kwa nini mnatufanyia hivyo.....:mad2:
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kwa kweli NN nimecheka sana leo...daaaahhh kwa nini wanakufanyia hivo!!!! hahaaaaaa nimeianza siku kwa kucheka leo
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  May 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Sijui kwa nini wanafanya hivyo bana...ngoja tuwasubiri akina dada waje watueleze sababu zao. Yaani hii nundu inauma kweli babu....halafu ndio imekuja mwisho wa juma......mfxiiiiiiiiiii (mfyonzo huo)
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  NN,

  Matangazo ya biashara tu hayo. Tunahitaji a version of "predatory vending law" against this, maybe some Taliban tips.

  But seriously, mara nyingi tu the goods are not as good as they look. Which is more of a reason you should go for the brain than the tits, azz and face.


  Words to the wise.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  May 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Most definitely..............
   
 6. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #6
  May 21, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kulikoni tena leo mkuu?
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  U never cease to amaze me son.

  I thought u would never see it this way in a mill years!
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  May 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Aaah bana wee...nimetoka zangu kazini nimerudi nyumbani....nikaanza kusumbuliwa na allergies...si unajua huku kwetu tuna matatizo ya pollen. Basi nikaamua kwenda zangu pharmacy pale Kroger kununua Zyrtec. Nikaamua kuangaza angaza kwenye aisles zingine kuangalia kama wana sales zinazoendelea. Ndio humo kwenye aisle nikakumbana na wadada wawili....nadhani wa Wadominican wale....bana weee yaani walivyokuwa wamevaa mtu mzima uzalendo ukanishinda ndugu yako. Waliponipita ikabidi nigeuke tena kuwaangalia huku nikiendelea kutembea. Kichwa kimegeuka nyuma huku naenda mbele. Nikajigonga kwenye nguzo moja ya zile price scanners za kuangalizia bei za vitu. Sasa mwili ulipogonga ile nguzo na kichwa nacho nikageuza na ndipo nikajibamiza pembeni ya paji la uso. Kwenye hiyo aisle walikuwepo jamaa flani wawili na wakaniona nimejigonga...wakaanza kucheka bana. Yaani noma kweli babu......sasa nina nundu halafu wikendi nayo ishafika....sasa hivi hapa nimejiwekea barafu na natumaini uvmbe utakuwa umepungua kufikia asubuhi.....
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  May 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Come on son, how many times have u seen me say that, all kidding aside, when it comes down to it, if you are ready to settle down the most paramount quality one should look for in a partner is strength of character? You shouldn't be surprised at all. I think getting with somebody who is walking on a solid moral ground is a good start (though not a guarantee of a successful relationship). Good morals, intellect, and all that jazz can all be wrapped around the strength of one's character. I know I like to clown around a lot but that doesn't mean I don't have a brain...
   
 10. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Dah...........Pole sana babu
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  May 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Dah...asante Nkwingwa.....
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  May 21, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  well.. heri yako! mwenzio niliambulia kuzabwa kibao ndio maana kuanzia wakati huo natembea kama niko kwenye gwaride.. "maachooo mbelee!".. hadi nitakapotoa heshima kulia! wakati haangalii... So.. Learn from the old man.. WATCH WHERE UR GOING; OR U'LL GO WHERE YOU ARE NOT WATCHING.
   
 13. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #13
  May 21, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Duh pole sana bro..but I had to laugh first na hilo nundu lako usoni.
  Haman fidia aisee?
   
 14. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ........Hayo mapaja na matiti hukuyaacha hapo room yako? Wanaume na nyie mmezidi kutamani khaaaaaaa!!
   
 15. E

  Edo JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Pole saaana NN ! Hiyo allergy ukiipigia zoezi la nguvu haipungui?
   
 16. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,415
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Nyani Ngabu tafuta mke utakuja kufa bure kwa kushangaa mademu hivi hapo ingekuwa barabarani si ungegongwa na gari
   
 17. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Exactly...and yet women want equality! Sasa kama wewe unaweza kupata 90% of ur needs from ur looks (and at the same time cause injury to others...as the case here)...equality itakuwaje? Are you not making yourself a commodity? Women...never to be understood!
   
 18. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pole mkubwa kwa yaliyo kusibu, bora ulikula kwa macho hukumfuatilia kweli maana huyo aliyesababisha ukapata ajali lazima alikuwa si mchezo!!!
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  May 21, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu, inabidi sasa kuwa makini kila unapokutana na hali hiyo, sasa ni kinundu safari nyingine huenda likawa jicho au kichwa kabisa!
   
 20. JS

  JS JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wala hatujazidi wewe kwa nini unaangalia mpaka ujigonge upate nundu ya uso??? Unapaswa uangalie kidogo tu kwa sekunde chache halafu uache na wengine waangalie bwana sio wewe unayeangalia mazima mazima
  POLE SANA NN...............njoo nikukande bathi hako kathehemu:smile-big:
   
Loading...