Na nyinyi mmezidi bana...

Mkuu pole sana....au ulisoma hii article kabla ya ajali kukukumba?

attachment.php

Hapana aisee hii ndio naiona sasa....
 
Kwanini uangalie in the first place? Hayo ni matatizo ya kujitakia mwenyewe na wala usiwalaumu akina dada wa watu.

Jamani...kwani macho kazi yake nini? Mbona mnaanza kunilaumu mimi "victim"....? Je ningewabaka hao wadada mngewalaumu wao na jinsi walivyokuwa wamevaa kuwa ndiyo wamejisababishia kubakwa? Kuweni na huruma jamani. Na hii nundu inauma kweli...daaaah
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol!!!
shem pole jamani, uwe na kiasi na wewe unaangalia tu mpaka mwisho kheee!!!

am trying to imagine hilo linundu usoni kwako duh!!! lakini anagalau umeongeza maisha!!!
 
Mkuu pole sana....au ulisoma hii article kabla ya ajali kukukumba?

attachment.php

Kwa huo utafiti watu wengi watazabwa vibao kama Mzee Mwanakijiji ama kupata nundu kama Nyani Ngabu sasa ni kupima uzito kipi bora maisha marefu ama ajali na adhabu.
 
Mtu unaenda grocery store lakini unavaa kaa unaenda klabu. Umevaa kimini na unaonesha mpasuo/ mgawanyo (cleavage) wa matiti. Matokeo yake mmenifanya nigeuke huku natembea hadi nikajigonga kwenye nguzo ya zege. Sasa hivi nina nundu hapa pembeni ya paji langu la uso kisa mapaja na matiti. Nimechukia sana. Sijui kwa nini mnatufanyia hivyo.....:mad2:

duh! pole sana NN inabidi uwe makini mana c dhani kama mitego itaisha
 
Jamani watu mna vituko huku ah .....Shemeji NN pole mwaya siku nyingine uwe unatanguliza ile white stick ati.............

By the way kumbe mwanakijiji you are already taken!! Poor me I was about to.................
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol!!!
shem pole jamani, uwe na kiasi na wewe unaangalia tu mpaka mwisho kheee!!!

am trying to imagine hilo linundu usoni kwako duh!!! lakini anagalau umeongeza maisha!!!

Sasa shem na wewe badala ya kunionea huruma unaanza kunicheka. Mambo gani sasa hayo shem....nichemshie maji basi halafu uyaweke kwenye karai halafu unikande kande hii nundu. Sidhani kama Nkwingwa ata-mind wewe kumuuguza shem shem wako....
 
shem nimecheka lakini nimekuhurumia pia...ndo maan ajana hukuja nini?? siri imefichuka sasa.
hebu njoo nyumbani nikuhudumie shem wangu, kakaako hawezi kujali!!!

ila ukija sitajizuia kucheka kwa kweli lol!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wala hatujazidi wewe kwa nini unaangalia mpaka ujigonge upate nundu ya uso??? Unapaswa uangalie kidogo tu kwa sekunde chache halafu uache na wengine waangalie bwana sio wewe unayeangalia mazima mazima
POLE SANA NN...............njoo nikukande bathi hako kathehemu:smile-big:

:hug:
 
Nakushauri uwe unatembea na helmet kwa usalama wako ukiona tu majaribu unaivaa chap chap na kuendelea kula kuona bila hofu ya kupata nundu.
 
Mtu unaenda grocery store lakini unavaa kaa unaenda klabu. Umevaa kimini na unaonesha mpasuo/ mgawanyo (cleavage) wa matiti. Matokeo yake mmenifanya nigeuke huku natembea hadi nikajigonga kwenye nguzo ya zege. Sasa hivi nina nundu hapa pembeni ya paji langu la uso kisa mapaja na matiti. Nimechukia sana. Sijui kwa nini mnatufanyia hivyo.....:mad2:

Hahahahahahaha! LOL! Nimecheka sana hahahahahaha Pole sana NN inaelekea hiki kitu hakikuwa cha kawaida maana Mzee mzima hadi ukajisahau na kutoangalia ulikokuwa unakwenda badala ya ke kushangaa kwa kazi ya Mungu. Summer hiyooooo na summer hii inaelekea kutakuwa na joto la kufa mtu maana May kuna temperature za July sasa tukifika July ndiyo baadhi wataamua kutembea uchi kabisa sasa na maumbile yao mhhhhhh! itakuwa kazi kweli kweli!! Next time ukumbuke hatua mbili unaangalia unakokwenda halafu hatua moja unashangalia tena kazi ya Mungu hahahahahaha. Kuna best wangu mnyarwanda ana mke bomba sana lakini yeye kwa kushangalia kazi ya Mungu ndiye mwenyewe maana hubadili mwelekeo na kumfuata binti na kuacha distance kidogo ili aendelee kufaidi kwa macho, labda hili si baya kulifikiria hahahahahahah. Celtics all the way this year, they have the size, weapons, determination and the reason to prove that all analysts were wrong to count them out just because they are TOO OLD.
 
Watch where you are going next time, did you go to the store to look at ass and cleavage or to shop??
Seriously.
rolleyes.gif
 
Mkuu pole sana....au ulisoma hii article kabla ya ajali kukukumba?

attachment.php

Mhhhhhh! Kumbe ni dawa...LOL! haya kumbe kazi inayofanywa na macho inaunufaisha mwili mzima maana unakimbiza kabisa BP na heart stroke wala hazikusogelei at the same time increasing your life span hahahahahahah.
 
Aaah bana wee...nimetoka zangu kazini nimerudi nyumbani....nikaanza kusumbuliwa na allergies...si unajua huku kwetu tuna matatizo ya pollen. Basi nikaamua kwenda zangu pharmacy pale Kroger kununua Zyrtec. Nikaamua kuangaza angaza kwenye aisles zingine kuangalia kama wana sales zinazoendelea. Ndio humo kwenye aisle nikakumbana na wadada wawili....nadhani wa Wadominican wale....bana weee yaani walivyokuwa wamevaa mtu mzima uzalendo ukanishinda ndugu yako. Waliponipita ikabidi nigeuke tena kuwaangalia huku nikiendelea kutembea. Kichwa kimegeuka nyuma huku naenda mbele. Nikajigonga kwenye nguzo moja ya zile price scanners za kuangalizia bei za vitu. Sasa mwili ulipogonga ile nguzo na kichwa nacho nikageuza na ndipo nikajibamiza pembeni ya paji la uso. Kwenye hiyo aisle walikuwepo jamaa flani wawili na wakaniona nimejigonga...wakaanza kucheka bana. Yaani noma kweli babu......sasa nina nundu halafu wikendi nayo ishafika....sasa hivi hapa nimejiwekea barafu na natumaini uvmbe utakuwa umepungua kufikia asubuhi.....

pole mtani!!

wanasema ... either uende unapoangalia, au angalia unapoenda!!! pole mzee manundu...
 
Mhhhhhh! Kumbe ni dawa...LOL! haya kumbe kazi inayofanywa na macho inaunufaisha mwili mzima maana unakimbiza kabisa BP na heart stroke wala hazikusogelei at the same time increasing your life span hahahahahahah.

Tatizo ni unapozabwa kibao kama Mwanakijiji au kujigonga kwenye nguzo ya zege kama NN au unagonga/gongwa na gari au unadumbukia kwenye mtaro wa maji machafu.
 
Back
Top Bottom