Na nini mkali kati ya operating system(os) is mbili window xp na window 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na nini mkali kati ya operating system(os) is mbili window xp na window 7

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mk4, Sep 22, 2012.

 1. mk4

  mk4 JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  kwa ujuzi wako!!!!!!!!!!!
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  It depend na mashine yako ina uwezo gani.

  In general windows 7 is more advanced than xp

  Kuendele kutumia window xp ni kuendele kupitwa na wakati kiteknolojia maana mocrosoft wanaachana na xp sasa, na watengenezaji wa softwares hivi sasa wanatengeneza software mpya ambazo hazitaweza kufanya kazi kwenye xp
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Window Xp inaachwa mbali sana na Window 7, hasa kwenye resollution
   
 4. by default

  by default JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Window xp ni sawa na gari manual na window 7 ni automatic hata mlemavu anaendesha utakiwi kutumia akili nying
   
 5. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  hivi ni kwanini ma bank mengi ya tanzania wanapenda tumia windows xp. Mfano crd comps zao zina run windows xp, standard chater pia hivyo hivyo hadi kwenye laptop wanazowapa wafanyakazi wao zile ambazo hazisomi flash na wala hazina cd rom na hazisomi modem tofauti na unayopewa na bank zina run windows xp
   
Loading...