saudari
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 2,655
- 2,783
MziziMkavu vipi wewe!! Maana ng'ombe wanataka kupakia daladala,
je nyinyi bado au mnataka mpakie bodaboda?????
je nyinyi bado au mnataka mpakie bodaboda?????
Mkuu saudari Ukitaka kuona maajabu nenda nchini India utakuta Ng'ombe wanamuabudu na anapita mijini pasipo na kumkamata Ng'ombe Afrika ni kitoweo India Ng'ombe ni Ni mungu Ataghfiru llah toba yarabi saudariMziziMkavu vipi wewe!! Maana ng'ombe wanataka kupakia daladala,
je nyinyi bado au mnataka mpakie bodaboda?????
Mbuzi wana thamani kila mahali kuliko Ng'ombe mbuzi huwezi kumkuta anazurura ovyo kama Ng'ombe nchini India mbuzi na kondoo wanafugwa pamoja na wanaishi pamoja laikini huko India utakuta Ng'ombe na wale nyati Bufalo nchini India wanatembea Mabarabarani kama hawana akili vile na hakuna mtu wa kuwashughulikia tembea mkuu ujione mwenyeewe haswa nenda nchini India mwisho ya yote huko saudariNa jee vipi kuhusu mbuzi, nipe maujuzi yako coz wewe umekula age lakutosha.
Mbuzi wana thamani kila mahali kuliko Ng'ombe mbuzi huwezi kumkuta anazurura ovyo kama Ng'ombe nchini India mbuzi na kondoo wanafugwa pamoja na wanaishi pamoja laikini huko India utakuta Ng'ombe na wale nyati Bufalo nchini India wanatembea Mabarabarani kama hawana akili vile na hakuna mtu wa kuwashughulikia tembea mkuu ujione mwenyeewe haswa nenda nchini India mwisho ya yote huko saudari