Angalia nembo ya awali nimeshaweka ya Tanganyika, shoka na panga ni nembo ya bendera ya ccmNyie watu wa siku hizi mambo mengi hamjui. Yaani hata bila reference kwa kumbukumbu yangu ishara nyingi tu umekosea. Hayo mashoka na mikuki yanawakilisha mapinduzi ya zanzibar (mikuki mashoka yalitumika). Rangi nyekundu ni damu kuwakilisha mashujaa wa mapinduzi ya zanzibar. Mawimbi ya bahari ishara kuonyesha visiwa vya zanzibar.
Au ile ngoma ya Pemba ambayo wanaume hukata viuno.Sasa ukiacha karafu na bahari mna nini? Au mnataka muweke picha ya matofaa? Au shokishoki? Au ulitaka awekwe shoga hapa?
Acha mzaha bhana, mbona tunafahamu zenj wateja wakubwa wa bangi!!Hapo juu tunaambia ni mkarafuu mi naona ni majani ya bangi ,Tanganyika kuna bangi nyingi sana inalimwa.
Ni upuuzi kwa wanaotaka serikali tatu gharama zote za nn? 1 inatosha sana rais mmoja bunge moja. Serikali tatu then ardhi ya tanganyika itumike na wazanzibar wengi? Au Zanzibar itatoa pasu pasu kwenye kwenye maswala ya muungano? Shirikisho ninini?
Kama mna nia ya dhati ya kuvunja muungano wala msiangaike, waambieni wenzenu waliopo bara warudishe aridhi wanazomiliki bara(kumbuka wabara hawaruhusiwi kumiliki airdhi zanzibar) maana ummiliki utakoma baada ya muungano kuvunjika. Wambieni wenzenu waliopo kwenye nafasi za muungano(akiwemo makamu wa raisi) waachie nafasi hizo maana maana hazitakuwepo baada ya muungano kuvunjika. Kama yasipofanyika hayo utakua ni unafiki.
Kama mna nia ya dhati ya kuvunja muungano wala msiangaike, waambieni wenzenu waliopo bara warudishe aridhi wanazomiliki bara(kumbuka wabara hawaruhusiwi kumiliki airdhi zanzibar) maana ummiliki utakoma baada ya muungano kuvunjika. Wambieni wenzenu waliopo kwenye nafasi za muungano(akiwemo makamu wa raisi) waachie nafasi hizo maana maana hazitakuwepo baada ya muungano kuvunjika. Kama yasipofanyika hayo utakua ni unafiki.
Sasa ukiacha karafu na bahari mna nini? Au mnataka muweke picha ya matofaa? Au shokishoki? Au ulitaka awekwe shoga hapa?
Si mjitoe kabisa, mbinu zote mmepewa lakini hamtaki. Aaaarrrggh
Kuna comments nyingine humu zinaudhi na kukera kweli kweli? Ndiyo maana Zanzibar mnachoma makanisa kwa kuamini kwamba makanisa yaliyopo Zanzibar ni ya watu wa Bara? Au hujui kwamba hata kabla ya uhuru makanisa kama Katoliki na Anglikana yalikuwepo Zanzibar? Walijenga watanganyika wakati huo? Shirikisheni bongo zenu kabla ya kucomment jamani. Kuandika kwa kukurupuka kama huku kunawashushia sana heshima zenu.ardhi ya kujenga makanisa zanzibar nyie wabongo munaipata vipi kama hamuruhusiwi kumili ardhi?
Mkuu Highlander, mimi nimeangalia tu general appearance ya hiyo nembo. Ni kama vile walichukua nembo ya Tanganyika halafu wakaanza ku- add-on vitu vya kuiwakilisha Zanzibar. Kiasi cha kwamba hata ikitokea leo Zanzibar wakajitoa sisi nembo yetu haitaathirika sana.Lukolo mbona mi naona tofauti? Kuna Njano palipokuwa rangi ya damu, na bendera ya Tanganyika imeondolewa nyuma ya mwenge kuweka ya Muungano. Halafu kahawa imeondolewa pale kona ya chini kulia kuweka kitu kingine. Kingine ukiangalia utaona wameongeza vile vishoka vilivyotumika kuua waarabu kule Zanzibar. Kwenye nembo ya Tanganyika vishoka vilikuwa hakuna. Hizi nembo ni tofauti bana.
Ni kweli nembo yenu haito athirika je kwenye kumrejesha rais wenu,bunge lenu na pesa zenu?Mkuu Highlander, mimi nimeangalia tu general appearance ya hiyo nembo. Ni kama vile walichukua nembo ya Tanganyika halafu wakaanza ku- add-on vitu vya kuiwakilisha Zanzibar. Kiasi cha kwamba hata ikitokea leo Zanzibar wakajitoa sisi nembo yetu haitaathirika sana.
Nyie watu wa siku hizi mambo mengi hamjui. Yaani hata bila reference kwa kumbukumbu yangu ishara nyingi tu umekosea. Hayo mashoka na mikuki yanawakilisha mapinduzi ya zanzibar (mikuki mashoka yalitumika). Rangi nyekundu ni damu kuwakilisha mashujaa waliotoa uhai kukomboa zanzibar. Mawimbi ya bahari ishara kuonyesha visiwa vya zanzibar.