Na ndiyo Maoni Yangu kuhusu Level ya Diploma

Na ndiyo Maoni Yangu kuhusu Level ya Diploma

hivi unafahamu kwamba hawa watu walianza na diploma. dr JPM, KASSIM MAJALIWA, marehemu capt john komba
 
Naeza soma diploma uku nikiristi mtihani wa kidato Cha sita
 
Hata kama mwanafunzi katoka direct form four to diploma kama anafaulu fresh hamna shida, tena huwezi kumlinganisha na aliyetokea six then anafeli modules za chuo..
Sometimes haya ni madaraja tu.. Ila amini hata dogo aliyemaliza form four anaweza pelekwa chuo kikuu na akaperfom..
So sio vitu vya kucomplicate hivi ww
 
Maoni ya kuzimu.

Akili za chama tawala hizi.
 
Maoni ya kuzimu.

Akili za chama tawala hizi.

Yaani we acha tu
huu mfumo uliokuwepo ni upuuzu mtupu wa kupoteza muda
halafu wanataka waongezewe
Ujumbe: kusoma sana ni uwoga wa maisha

hapo walipo:
Primary 7 years - kuanzia age 8years - kumaliza age 14 years
Secondary 4 years - kumaliza age 18years
Alevel 2 years- kumaliza 20-21 years (Hapa UK au US student graduated with First Degree University)
Bado waende Chuo 4-5 years- Graduate ukiwa 25 years or so..
ushakuwa mhenga kwa viwango vya kimataifa

Kazini kwangu tuna youngster started recently wako 21 years with First degree.
 
Back
Top Bottom