Na mume wangu kipenzi teh

Jana niliona mada kuna jamaa kazimika na wewe ile mbaya humu JF. Sijui ulimsaidiaje maana hata PM zake eti haujibu...
Haha me namuombea tu apate manzi mzuri zaidi yangu.
 
Haha me namuombea tu apate manzi mzuri zaidi yangu.
Mmmh! Sio kwa kumfariji huko... Mi nikajua utakuwa umemuonjesha kidogo na kumwambia aende zake, kumbe ametoka kapa kabisa... Namsikitikia maana alifunguka ile mbaya hapa jukwaani....
 
Mmmh! Sio kwa kumfariji huko... Mi nikajua utakuwa umemuonjesha kidogo na kumwambia aende zake, kumbe ametoka kapa kabisa... Namsikitikia maana alifunguka ile mbaya hapa jukwaani....
Alikua anatania tu
 
Sa zingine tunawapendaga Basi Tu lakin ndo hivo NDOA ni kuvumiliana jiulize wazaz wetu mpaka leo wapo wanapendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…