mie ndie upinde uliopinda kama coil dawa ya mbu ukininyoosha tu ili niwe kam
a unavyotaka navunjika.
Nimepata tetesi kuwa mtoto wa Baba V alikamatwa na unga wa sembe ,mhogo na unga wa mtama kule kwa akina huuu! Haaaa!! Inasemekana jamaa wa gwanzuu walihisi ni unga wa baruti
pamoja na kujitetea kote na kudai kuwa kwao bongo huo ndio msosi mkuu jamaa hawakumwelewa kabisa wasi wasi wangu kwa baba v chit chat anaweza kuiuza kwa ili kumkomboa mwanae v. Ngoja nimtafute mzee wa udaku Bishanga anidakulie hii tetesi
Nimewabip interpol wakanipigia nimewaambia huku Katavi kuna tembo nje nje, wamwachie mwanangu kwanza jina lake lipo kwa mkulu tayari kuwa ni mhusika hivyo waje tu huku bado kuna tembo kibaaao wana meno yao.. Tanzania yetu hii, naskia tujiandae bandari ya Mtwara nayo watachukua akina Zuma ili Masogange aachiwe kama tulivyowapa akina Jack chan gesi ya akina kiwatengu....

na sie ndo tumekwua mahausgeli wa kina huuu! haaaaa! et al
daaaah!
Mahausigelo wa chumbani ama jikoni? Kuna kule kwa kina praaaah pruuuhhh (dubai)
Hahahahahahaahaha!!!! umenifurahisha mkuu, naona unawaonea huruma watatolewa kucha na meno yao, ila yasemwayo ni kweli kabisaaaaaa, tena mm ningeombea wakina huuuu , haaaa wangempiga risasi.Huu udaku huu ni kama unafanana na ukweli flani...
Kucha na meno yenu jamani!
sijakuelewa Tetra!!!????
nasikia mtaa wa congo wanamiliki hahahahaha!!! booongoo hiyoooooo!! bongo daisalaaam ntalialialiaaaaaa!!! bongo daisalaaam !! bongo ya sasa sio bongo ya mwaka 47.
inamaana wewe ume staff?TANMO na Elizabeth Dominic senior correspondents jfudaku mko wapi,kuna breaking news inawapita hivo.