Na Mkojo pia hautoki.

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
3,564
Reaction score
1,992
Mzee mmoja alikuwa anaumwa Maralia, ikabidi aende Hospital kupima. Alipofika, Nesi akamchoma sindano kwenye kidole cha kati, lakini akashaangaa kuona damu haitoki, ikabidi aanze kunyonya kidole ili damu ipate kutoka. Mzee aliposikia raha ya kunyonywa imezidi akamwambia "Nesi na Mkojo pia hautoki" Ha ha haa www.majanga.com
 
Aaaaaaah teeeh alitaka utamu utamu!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…