Na mimi natafuta mchumba

Kijana kichwa ngumu, si hawajui nyie mkoje,
Akiskia mtu kakataliwa kwa sababu tu akiongea anarusha mate ndo ataelewa nyie mkoje.

Ila mimi sijarusha mate, na katika hill nyinyi wawili wakulaumiwa coz ni wanaume but mnaniwekea fitini zisizo na msingi,... Wewe unajua mimi nikoje,.?.. Au unadhani nimendika apa kufanya mark time,... Jaribun kuheshimu binafsi ya mtu hamjaitwa na wala Dada zenu awajaitwa, nashindwa kuelewa kinachowawasha ni kipi,.. Learn to my ur business you're not someone to tell me who I should be or do,....
 
Duh, Povu tena.
Sina haja ya kufua mimi acha nijiengue. Bacyclerbacy njoo umu handle mtu wako huku, asije sema tumekupeperusha bure.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom