Na mimi nakwenda Loliondo!

Na mimi nakwenda Loliondo!

Kadogoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2007
Posts
2,073
Reaction score
347
Hamjambooo? ndio nimetoka jela hivi punde baada ya kusota muda mrefu kwa kufungiwa na Modereta mpaka nimeupata ugonjwa wa Kisukari! nimesikia kuna BABU huko Loliondo anatibu hivyo naenda huko halafu nitarudi na majibu!!!
 
Nenda ukaongezewe kisukari!
Hamjambooo? ndio nimetoka jela hivi punde baada ya kusota muda mrefu kwa kufungiwa na Modereta mpaka nimeupata ugonjwa wa Kisukari! nimesikia kuna BABU huko Loliondo anatibu hivyo naenda huko halafu nitarudi na majibu!!!
 
ulifanya nini hadi ukala ban?🙂

Si unajua tena ukiwa na mawazo au msimamo tofauti wa kisiasa! FREEDOM OF EXPRESSION yaani hapa JF ni baaaado na tuna safari ndefu sana!!!
 
We nenda tu. Halafu wape hi masela wote huko ukiwaona.
 
Back
Top Bottom