Ihoma
Member
- May 23, 2017
- 92
- 88
Habari zenu,
Kama ilivyokuwa kwa Mramba ameamuwa kuwa mwanachama mfu wa CHADEMA nampongeza kwa ujasiri huo wa kutoyavumilia maovu na uzandiki.
Mimi kwa upande wangu nasimama na Rais Magufuli milele kwa utendaji wake tu uliotukuka ameonyesha sifa zote za modern leadership anamisimamo yenye tija na isio tetereka namuunga mkono aendelee kuingoza Tanzania twende kwenye mafanikio wale wengine (CHADEMA na wenzao ACT nk) kumbeni wababaishaji na wezi tu eti mtu anakidai chama B7 my foot wangepewa nchi si wangelifirisi hawa washenzi.
Mheshimiwa Magufuli swaga twende mbele kwa mbele 2035 huree