Na mimi kuanzia leo namuunga mkono Rais Magufuli

Ihoma

Member
May 23, 2017
92
88
Habari zenu,

Kama ilivyokuwa kwa Mramba ameamuwa kuwa mwanachama mfu wa CHADEMA nampongeza kwa ujasiri huo wa kutoyavumilia maovu na uzandiki.

Mimi kwa upande wangu nasimama na Rais Magufuli milele kwa utendaji wake tu uliotukuka ameonyesha sifa zote za modern leadership anamisimamo yenye tija na isio tetereka namuunga mkono aendelee kuingoza Tanzania twende kwenye mafanikio wale wengine (CHADEMA na wenzao ACT nk) kumbeni wababaishaji na wezi tu eti mtu anakidai chama B7 my foot wangepewa nchi si wangelifirisi hawa washenzi.

Mheshimiwa Magufuli swaga twende mbele kwa mbele 2035 huree
 
habari zenyu
kama ilivyokuwa kwa mramba ameamuwa kuwa mwanachama mfu wa chadema nampongeza kwa ujasiri huo wa kutoyavumilia maovu na uzandiki
mimi kwa upande wangu nasimama na raisi magufuli milele kwa utendaji wake tu uliotukuka ameonyesha sifa zote za modern leadership anamisimamo yenye tija na isio tetereka namuunga mkono aendelee kuingoza tanzania twende kwenye mafanikio wale wengine (chadema na wenzao ACT nk) kumbeni wababaishaji na wezi tu eti mtu anakidai chama B7 my foot wangepewa nchi si wangeifilisi hawa washenzi nyambafu
Mheshimiwa magufuli swaga twende mbele kwa mbele 2035 hureeeee
Chama gani kinadaiwa b7 na ni nani anadai. Kaushahidi
 
Kumbe kuna namna nyingi sana za mtu kuwa maarufu. Naona huyu mkuu kawa maarufu sana kwa tabia yake ya kuwa mchangiaji wa kwanza kwa nyuzi nyingi.
Ila uzuri wake ni mtu mstaarabu!
Hahahaa! Ni kweli jamaa kawa maarufu kwa kutumia ubunifu wa hali ya juu na wakipekee.
 
Tumuungeni mkono kwa mazuri anayoyafanya lakini pia wakosoaji nao waendelee kukosoa pale inapoonekana kuna haja ya kukosoa ili kujenga Tanzania tunayoitaka sote. Tanzania yenye umoja, amani na Maendeleo kwa manufaa ya wote.
Mi nampenda kwa misimamo yake na utendaji wake ila pale anapokosolewa asikilize, apime hoja zao na kama ni hoja zenye kujenga basi azichukue azifanyie kazi. Si kila mkosoaji anapinga ila kuna wengine hushauri vizuri sana hivyo wasipuuzwe kwa kuogopa kuwa kutumia ushauri wao kutawapa credit kisiasa.

Kila lakheri mheshimiwa Magufuli!
 
wangepewa nchi si wangeifilisi hawa washenzi nyambafu kama nyie inzi wa Kijani mlivyoifilisi nchi Kwa zaidi ya miaka 50 na kusababisha umaskini wa kutupwa Kwa wananchi

Maisha mema mkuu, Tanzania bado ni nchi masikini kabisa na kipato kwa mwananchi ni chini
ya $1 huku zaidi ya 80% wakiishi kwenye umasikini mkubwa..

Zaidi ya 65% ya watanzania hawana maji safi na salama, zaidi ya 75% hawapati huduma bora za afya, zaidi ya 65% hawajui kusoma na kuandika,bado zaidi ya 50% wanasomea chini ya miembe na mvua ikinyesha shule zinafungwa, miundo mbinu kwa 70% bado ni mibovu na sehemu nyingi hazifikiki, Kali kabisa ni hata hizo shule zilizopo hazina vyoo na vilivyopo ni kama vinatumiwa na ng'ombe, bado asilimia kubwa ya watanzania wanajisaidia polini, nk, nk, nk matatizo ni mengi saana..

Tanzania ilipata uhuru 1961, toka imepata uhuru inaongozwa na chama kimoja kinaitwa CCM..
 
hayo ni mawazo yako mfuu
 
kwani kuna cha uongo hapo!!! Ukiwa kama kijana unatakiwa utambue hayo, tofauti na hapo utakuwa mnafiki tu...
kijana asiye mnafiki ni yule mzalendo wa kweli kummuunga mkono magu ambaye ameonyeha uzalendo wa hali ya juu kwa kupambana na kutetea maslahi ya taifa
 
kijana asiye mnafiki ni yule mzalendo wa kweli kummuunga mkono magu ambaye ameonyeha uzalendo wa hali ya juu kwa kupambana na kutetea maslahi ya taifa

Hiyo ni kazi ya Rais, kuunga mkono sio kazi yangu ila kazi yangu ni kuhakikisha anatekeleza majukumu na kulitoa taifa kwenye mkwamo uliosababishwa na uzembe wa CCM toka 1961..

Kama nitalazimika kupongeza basi ni mwisho wa safari sio mwanzo wa safari..
 
work in progress ...........
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom