Hank_31
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 864
- 2,164
Umemaliza mkuu, malaya hakua na mpango wowote wa kuendeleza familia. Miaka 4 kapata sponsor? What a tragedy.Ndio miaka minne tu ya jamaa kukaa mahabusu abebe mimba na azae na sponsor? Je jamaa angekua amehukumiwa kifungo kirefu ingekuaje. Huyo ni malaya mkuu na lazma walikutana na mchizi sehemu za bata jamaa akaweka ndani kisa anampunga.
Jiwe atalaumiwa kwa kumrudisha mwamba nyuma lakini aliyefanya jamaa kufa ni stress za mkewe.
Sent using Jamii Forums mobile app