Is Malisa died?
Kwa mtiti wa wanasiasa wakikufanyia roho mbaya wanafilisi mpaka bima. Wanasiasa Africa hovyo sanaKua na back-up plan, maana yake nishaamini na kutambua kua maisha yangu yatavurugika siku moja.
Mfano: kama unamiliki gari na unaamini ipo siku utapata ajari ni lazima utalipa bima bila kusita na hautofanya mchezo kabisa, na hata ikitokea umepata ajali haitukua stresed kwa kua back-plan yako ilikua kwa kulipa bima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu anatokea mpumbavu anasema magufuri akisemwa ni RIP...yaani magufuri kafanya mabaya meeeeeeengi kuliko mema na moto w a jahanamu ni halali yake😢😢Wakati wa JPM alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akasota rumande miaka minne. Mwaka jana akaachiwa kwa NOLE. Aliporejea nyumbani akakuta biashara zake zimekufa. Mke ana mtoto mwingine aliyezaa nje ya ndoa. Mke anadai hakuplan ku-cheat ila changamoto za maisha zilimlazimisha. Baada ya kila kitu kuvurugika na maisha kuwa magumu alimpata "Sponsor" aliyekubali kulea watoto wawili wa jamaa akiwa jela.
Ni "sponsor" huyohuyo aliyelipia gharama za mawakili waliomtetea jamaa hadi kuachiwa huru. Sponsor alitunza familia ya jamaa, akamlipia mawakili, akahakikisha watoto wake wanaendelea kusoma English Medium na hawarudi shule za Kayumba. Akamfungulia mke wa jamaa biashara ya saloon ili aweze kujikimu kwa mahitaji madogo, akamnunulia gari.
Jamaa alipotoka alipata depresion ya maisha, ndoa, uchumi etc. Washkaji zake tulijitahidi kumrudisha sawa lakini it was a locomotive process. Mke alijitetea kwamba yaliyotokea hakukusudia. Aliahidi kukatiza mahusiano na "sponsor" na badala yake watawasiliana kwenye malezi ya mtoto tu. Lakini somo hilo lilikua gumu kwa jamaa.
Jamaa alikua muongeaji sana kabla ya kufungwa. Lakini baada ya kutoka jela akawa mtu mkimya na asiyependa kutoka. Mara zote hujifungia ndani akiwaza na kusoma vitabu. Washkaji zake tuligundua yupo kwenye msongo. Kuporomoka kwa uchumi na kuyumba kwa ndoa yake vilimuumiza sana. Tukaweka utaratibu wa kumtembelea mara kwa mara, kumtia moyo na mara chache kutoka nae out japo kwa kumlazimisha.
Kuhusu mtoto tulimwambia kitanda hakizai haramu. Kuhusu uchumi tulimwambia ajipe moyo atarecorver kwani hayo ni mapito tu. Tulikua tayari kumchangia mtaji kidogo ili aanze kujipanga upya.
Jana nikapata taarifa kuwa ameanguka bafuni. Inadaiwa alipata stroke na mishipa ya kichwa kupasuka. Damu ikavilia kwenye ubongo, akapoteza fahamu. Akakimbizwa hospitali lakini alipofikishwa, madaktari wakasema si yeye bali ni mwili wake tu. Malaika Israel alimtwaa njiani kabla ya kufika hospitali.
Nimeumia sana. Pumzika kamanda. Siku zako nje ya jela zimekua NGUMU SANA kuliko ulipokua jela. Naamini umemsamehe mkeo. Naamini pia umemsamehe JPM aliyevuruga maisha yako na familia yako. Lala salama mwamba. Tutaonana baadae.! [emoji24][emoji24]
Kutoka jela kwa ruhusa ya jaji mahakama kuuNOLE ndo nn ...????
Wewe ni fara tu yaani kwenye maelezo yooooote umemuona sponsor.....hujiulizi chanzo cha mwanamke kujikabidhi kwa sponsor kilikuwa ni nini!JPM atalaumiwa hata kwa yasiyomhusu...yeye ndo alimtafutia huyo mwanamke sponsor? Upumbavu wa huyo mwanamke ni wake, wangapi wanafungwa na wanarudi uraiana na kuendelea na familia zao? Wengi wa wapigaji walizoea maisha fulani ya mteremko na ndio hayo maisha huyo mwanamke alikua kayazoea ndio maana akashindwa kuvumilia akatafuta sponsor. Maana mfanyabiashara inakuaje just 4 years mke akose hata pesa ya kujikimu atafute sponsor? Kuna aina ya maisha ambayo huyo mwanamke alizoeshwa na ni jamaa ndo alimzoesha. Sio kila lawama abebe Jiwe
Fala ni wewe....unaemtetea huyo malaya na kusupport lawama kwa JPM.Wewe ni fara tu yaani kwenye maelezo yooooote umemuona sponsor.....hujiulizi chanzo cha mwanamke kujikabidhi kwa sponsor kilikuwa ni nini!
Fala ni wewe....unaemtetea huyo malaya na kusupport lawama kwa JPM.
Unawajua wanawake waliozoeashwa maisha mazuri?
Ficha ufara wako hapa sio facebookFala ni wewe....unaemtetea huyo malaya na kusupport lawama kwa JPM.
Unawajua wanawake waliozoeashwa maisha mazuri?
Kweli some Fools never learn. We ni mmojawaoFicha ufara wako hapa sio facebook
Wewe unamtetea magufuri mimi simkubali magufuri hata ningewekewa chuma shingoni unadhani tutaelewana?Kweli some Fools never learn. We ni mmojawao
Hapo umeeleweka...ila sio sababu humkubali ndio abebe lawama hata za malaya bhanaWewe unamtetea magufuri mimi simkubali magufuri hata ningewekewa chuma shingoni unadhani tutaelewana?
Kitendawili kiteguliweWakati wa JPM alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akasota rumande miaka minne. Mwaka jana akaachiwa kwa NOLE. Aliporejea nyumbani akakuta biashara zake zimekufa. Mke ana mtoto mwingine aliyezaa nje ya ndoa. Mke anadai hakuplan ku-cheat ila changamoto za maisha zilimlazimisha. Baada ya kila kitu kuvurugika na maisha kuwa magumu alimpata "Sponsor" aliyekubali kulea watoto wawili wa jamaa akiwa jela.
Ni "sponsor" huyohuyo aliyelipia gharama za mawakili waliomtetea jamaa hadi kuachiwa huru. Sponsor alitunza familia ya jamaa, akamlipia mawakili, akahakikisha watoto wake wanaendelea kusoma English Medium na hawarudi shule za Kayumba. Akamfungulia mke wa jamaa biashara ya saloon ili aweze kujikimu kwa mahitaji madogo, akamnunulia gari.
Jamaa alipotoka alipata depresion ya maisha, ndoa, uchumi etc. Washkaji zake tulijitahidi kumrudisha sawa lakini it was a locomotive process. Mke alijitetea kwamba yaliyotokea hakukusudia. Aliahidi kukatiza mahusiano na "sponsor" na badala yake watawasiliana kwenye malezi ya mtoto tu. Lakini somo hilo lilikua gumu kwa jamaa.
Jamaa alikua muongeaji sana kabla ya kufungwa. Lakini baada ya kutoka jela akawa mtu mkimya na asiyependa kutoka. Mara zote hujifungia ndani akiwaza na kusoma vitabu. Washkaji zake tuligundua yupo kwenye msongo. Kuporomoka kwa uchumi na kuyumba kwa ndoa yake vilimuumiza sana. Tukaweka utaratibu wa kumtembelea mara kwa mara, kumtia moyo na mara chache kutoka nae out japo kwa kumlazimisha.
Kuhusu mtoto tulimwambia kitanda hakizai haramu. Kuhusu uchumi tulimwambia ajipe moyo atarecorver kwani hayo ni mapito tu. Tulikua tayari kumchangia mtaji kidogo ili aanze kujipanga upya.
Jana nikapata taarifa kuwa ameanguka bafuni. Inadaiwa alipata stroke na mishipa ya kichwa kupasuka. Damu ikavilia kwenye ubongo, akapoteza fahamu. Akakimbizwa hospitali lakini alipofikishwa, madaktari wakasema si yeye bali ni mwili wake tu. Malaika Israel alimtwaa njiani kabla ya kufika hospitali.
Nimeumia sana. Pumzika kamanda. Siku zako nje ya jela zimekua NGUMU SANA kuliko ulipokua jela. Naamini umemsamehe mkeo. Naamini pia umemsamehe JPM aliyevuruga maisha yako na familia yako. Lala salama mwamba. Tutaonana baadae.! [emoji24][emoji24]
Usiwe mwepesi wa kuwahukumu wenzako. Afadhali basi angepelekwa mahakamaniWengine walikuwa wezi kweli, hayo ndo malipo yake.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
je kama huyo mwanamke hakuwa na uzoefu wa kuendesha hiyo biashara (alikuwa hashirikishwi) unatarajia angeweza kukurupuka tu na kuwa mtaalamu wa biashara?Maana mfanyabiashara inakuaje just 4 years mke akose hata pesa ya kujikimu atafute sponsor? Kuna aina ya maisha ambayo huyo mwanamke alizoeshwa na ni jamaa ndo alimzoesha. Sio kila lawama abebe Jiwe
Ndio miaka minne tu ya jamaa kukaa mahabusu abebe mimba na azae na sponsor? Je jamaa angekua amehukumiwa kifungo kirefu ingekuaje. Huyo ni malaya mkuu na lazma walikutana na mchizi sehemu za bata jamaa akaweka ndani kisa anampunga.je kama huyo mwanamke hakuwa na uzoefu wa kuendesha hiyo biashara (alikuwa hashirikishwi) unatarajia angeweza kukurupuka tu na kuwa mtaalamu wa biashara?
Sawa ndugu asante kwa kunielewesha.Kisa kimenakiliwa toka ukurasa wa Malisa