Na Kipanya Leo

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
40d8257a72780cd30120579b781824f5.jpg


Ipe sentesi mchoro huu wa Kipanya....
 
Si huyo Faru John anawakimbiza wenye nguvu ya kushikiria rasilimali zetu sasa wenzake wanasema anajitafutia matatizo
 
Yaani nyati anauthubutu.Na maranyingi Nyati wenye uthubutu wamewahi kuwaleta simba matatizo makubwa sana. Ila wale waliobaki walistahili kuchorwa kama Nyumbu, ambao sikuzote hukamatwa hata na fisi, tena chakushangaza ni dume kubwa la Nyumbu Lina uwawa na fisi. Ni mambo ya aibu kabisa.
 
Back
Top Bottom