Na kamvua haka jioni....

Huyo jamani. Yule mkaka daaah. Na moyo wangu umedunda. Wacha nimsalimie kwanza ex boo wangu. Ye ndo alianzaga kunipa jani nivute kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Basi yule alikuaga college sweetheart wangu. Japo alipenda jani zaidi kuliko mimi ila mi ndo nilikua nampenda hadi naumwa [emoji23][emoji23]
Hahaha, Bila shaka ulishawahi kuja pale nbc club
 
Basi, nshakujua, nshakuona sana. I was living there too for 3 yrs
Hehehehehee. Umenitishia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Maana hatukua serious kiviiile. Na nilikua siji kule nbc kwa wanaume alikua anakuja huku kwa wanawake.
 
Nilikua naenda sana kule kwa wanawake. Pia nilikua napenda kukaa kule juu summit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…