Na kamvua haka jioni....

Na wewe ifm eeh. Wakati niko ifm nilishalishwa cake yake na mkaka mmoja hivi alikua anaitwa Chris [emoji23][emoji23]
Weee, Chris unamjua? Vikeki flan vidogo cjui ilikua byku? Ilikua bznec yangu
 
Weee, Chris unamjua? Vikeki flan vidogo cjui ilikua byku? Ilikua bznec yangu
Namjua Chris. Sema sasa hivi kaacha kabisa mambo ya Jamaica. Eeeh hivyo hivyo vicake vya buku. Nikamtumaga jamaa mmoja anaitwa Wil alikua banking alete akawapa marafiki zangu mambo walioyafanya ni aibu. Ila serious nataka vile vicake nijaribu tena kula
 
nimefungua kwa mbwembwe nilijua kuna picha ya mtoto mkali ndani ya pichu tu
 
Hahah, wil yule jamaa Ana kiafro hivi?
 
Wil alikua bbf
 
Hahah, wil yule jamaa Ana kiafro hivi?
Huyo jamani. Yule mkaka daaah. Na moyo wangu umedunda. Wacha nimsalimie kwanza ex boo wangu. Ye ndo alianzaga kunipa jani nivute kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe uko kwenye chama la wana mmama?
Hamna huyo bf nilimpenda sana sasa nikawa napenda akivuta weed anavyokua mpole. Akawa ananipa nivute akivuta na yeye. Sema bangi na mapenzi bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamna huyo bf nilimpenda sana sasa nikawa napenda akivuta weed anavyokua mpole. Akawa ananipa nivute akivuta na yeye. Sema bangi na mapenzi bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema bangi na mapenzi bwana [emoji23][emoji23][emoji23]



Eehe! Bangi na mapenzi? Tupe uzoefu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…