Kuna methali inasema 'watakusema mchana Usiku watalala ' sasa kama anayenisema ni mlinzi je ....?
atasema ucku mchana atalala.....simpo 2 sio had ufke mlimaniKuna methali inasema 'watakusema mchana Usiku watalala ' sasa kama anayenisema ni mlinzi je ....?
Atawaadithia Wamasai uckuu
kwani mlinzi halali?
Nalog off
Anasinzia tu....
Ah wapi! kuna mlinzi fulani alikuwa akitulinda kule Rufiji ana kitanda kabisa chumbani kwake na siku hiyo tukitembelewa na Simba maeneo hayo,kesho yake hatoki chumbani kwake mpaka tukamgongee ndio anafungua mlango.
Nalog off